Elections 2010 kiasi fulani naanza kushawishika dr.migiro anajipanga kwa urais

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
haya ni machale yangu binafsi yanayonicheza kuwa huyu mama anajipanga,..ndio home sweet home lakini
hivi vitrip vyake lately sio bure halafu ****** body language yake pembeni ni kama anasema,.this is the next one,..rejea kauli ya UVCCM kwamba jina la next president analo mezani kwake,...tumeangalia jinsia,..zamu ya wanawake blahblahblah.....
 
Hana nafasi mkuu nitakuja kushuka nondo soon akionyesha kuanza kupitapita kwa wanachama ama akianza kuunda mtandao
 
Huku kurudi rudi nyumbani kwa kusingizia anamsindikiza mkurugenzi wa UNAIDS danganya toto ana lake jambo anaanza kujenga mtandao haya natusubiri
 
Tanzania inapenda sifa...kuna thread imesema uwakilishi wa wanawake bungeni TZ ni mkubwa kupita wa US.

Tayari tunae spika mwanamke...Bado hatujapata Rais mwanamke....mwacheni ajaribu bahati yake.
Hawa waliotangulia nao ni hao hao wa kubahatisha tu.
 
Wanawake wa Tz ..Sophia Simba, Anne Makinda,Selina Kombani, yule wa Utumishi sijui ndiye nani tena ... maboara wakubwa. Huyu atakuwa na tofauti gani hadi awe Rais.
 
Ni kweli
nami naamin hivyo,taarifa hizo nilizpztz toka kwa mtu nyet sana huko kwenye system
 
Mbona hilo ni tangu siku nyingi sana tu mzee ingawaje 1. rekodi yake kuendeleza Watanzania, 2. nguvu ya kundi la mafisadi ndani ya CCM, 3. uzoefu wake mdogo serikalini na, 4. kutokutokukea upande wa Tanzania Visiwani, 5. na kuwa na ushawishi hafifu kwa vijana (gala la kisasa zaidi ya kura nchini) na kutokuamini katika Reformist na bila maslahi ya taifa balI tu ni uhai tu wa CCM, yooote ni vikwazo kwake kwa namna ya peke yake mno.
 
Kuonekana kuwa ni chaguo la Jakaya ni liability kubwa sana kwa upande wa Asha Rose; nadhani wengi wa wananchi watapenda Rais ajae awe ni mtu wa mbali sana na ******!!
 
She is way better than the S. Simba's, the Celina Kombani's and the others that fill up those "special" seats in parliament. But the forces that be will never let her become president and I doubt many Tanzanians would honestly vote for a female presidential candidate if she was presented to them.
 
haya ni machale yangu binafsi yanayonicheza kuwa huyu mama anajipanga,..ndio home sweet home lakini
hivi vitrip vyake lately sio bure halafu ****** body language yake pembeni ni kama anasema,.this is the next one,..rejea kauli ya UVCCM kwamba jina la next president analo mezani kwake,...tumeangalia jinsia,..zamu ya wanawake blahblahblah.....

Tukikubali tu, wamarekani watachukua mali asili zetu zote ndani ya uongozi wake. Watafanya wanavyotaka. Itakuwa afadhali kwa awamu zote zilizopita kwani mkoloni atarejea kwa fujo.
 
haya ni machale yangu binafsi yanayonicheza kuwa huyu mama anajipanga,..ndio home sweet home lakini
hivi vitrip vyake lately sio bure halafu ****** body language yake pembeni ni kama anasema,.this is the next one,..rejea kauli ya uvccm kwamba jina la next president analo mezani kwake,...tumeangalia jinsia,..zamu ya wanawake blahblahblah.....

anakuja kuangalia kama amepata wapangajì kwenye villa yake mpya ya isamilo mwanza
 
Wanawake wa Tz ..Sophia Simba, Anne Makinda,Selina Kombani, yule wa Utumishi sijui ndiye nani tena ... maboara wakubwa. Huyu atakuwa na tofauti gani hadi awe Rais.
Wataka radhi wanawake tafadhali!!

Ina maana wewe unawajua wanawake kwamba hawafai au kwa vile hujawapenda hao uliowataja basi kila mwanamke hafai?? A.R. Migiro unamfahamu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom