Kiapo tunachokula wakati wa kuomba AJIRA

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kuna maneno tunayosemaga tukinyenyekea ajira kwa mfano I, me, myself, I swear, I can work and die under pressure. If u believe me want plz offer letter me. mtu akiwa desperate anatafuta kazi na English kama 6th lg nayo inakuwa desperate kama nilivyoanisha hapo juu.

Sasa swali ni kwamba je ukifika kwenye ajira yenyewe ukakuta kweli kuna pressure ya kufa mtu unaweza kurudi HR na kuwaambia yaishe jamani sikuamaanisha hivi? mfano una report kwa head TZ, na main office UK kwa sisi tuliojiriwa kwenye NGO. Unakuta kila kitu kinaanza na wino mwekundu kutoka kwa bosi wako TZ very urgent, kwenye email kutoka UK plz treat this matter as of utmost urgency and submit report before close of busness today(COB). H

Hujakaa sawa nako mikoani wanapiga such report/data is incorect plz help us to ammend immediately and get it signed off by mandate holder. Hujakaa sawa simu kutoka ofisi kuu yaani UK inaita how far have u gone with the task assigned?

Mnadili vipi na presha kama hizi jamani?
 
Kweli mkuu umenena la maana.
tunajiapia apia tu matokeo yake tunapelekeshwa kama PUNDA.

Leo nawafwata HR nawaambi kwa msisitizo ....I wanna take my words back.....was joking meen. wataniua hawa wakoloni.
 
haha haha haha ha aa.
Hapa umekuja na mawazo mapya sana kama ya Mkoloni wa Wagosi wa Kaya
 
Leo nawafwata HR nawaambi kwa msisitizo ....I wanna take my words back.....was joking meen. wataniua hawa wakoloni.
Bora wale waliopo serikalini presha kama hizi hawazipati kwa sana!
 
Back
Top Bottom