Serikali si haina dini? kwa nini kiongozi kama rais anapewa kiapo akiwa ameshika aidha Biblia au Qu-ran? kwani akikosea wakati wa utawala wake ataambiwa amekiuka misingi ya dini yake aliyoapishwa? kwa nini tusiishie KATIBA tu?! mimi nashindwa kuelewa!