Kiapo kinachodhihirisha unafiki wa wana - CCM

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
“Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa”
"Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko".


Majority ya wana CCM ni wala rushwa, ni waongo na fitina kwao ni jadi. Mnasemaje wenzangu?
 
Back
Top Bottom