Kiapo cha rais wa jmt kwa ukamilifu wake

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Wakati michakato mingi ikiendelea na matukio mengi yakijiri ingependeza mwenye kiapo cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atumwagie hapa ili tujadili jinsi rais wetu anvyoishi kiapo hiki - mwenye full version tumwagie please
 
Back
Top Bottom