Kiapo cha Rais kina maneno gani?

Nilikuwa natafuta maneno ya kiapo cha Rais anachoapa pale anapoapishwa kina maneno gani hasa?
Mzee Mwanakijiji karibu tena we missed u hadi watt wakadhani kuwa Mafisadi wa Dowans wamepita na wewe. Kiapo cha Rais na viongozi wengine kinapatikana kwenye Sheria ya viapo vya viongozi.
 
Asante.. kuna mtu kasema ati kiapo kinasema hivi (sehemu yake):

Mimi ...................bin..................naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa jamhuri ya muungano wa Tanzania na kwamba nitaahifadhi kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ewe mwenyenzi mungu nisaidie.
 
Asante.. kuna mtu kasema ati kiapo kinasema hivi (sehemu yake): Mimi ...................bin..................naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa jamhuri ya muungano wa Tanzania na kwamba nitaahifadhi kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ewe mwenyenzi mungu nisaidie.
Ndivyo kilivyo. Walikopi na paste kutoka kwenye Katiba ya kikoloni. Niliwahi kuhoji iweje kiapo hicho hakina option ya ku affirm kama vilivyo viapo vingine.
 
Nimeuliza hivyo kwa sababu sijui kama kwa yeye peke yake kuamua kuanza mchakato wa kuandika Katiba Mpya kunakubaliana na kiapo cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi Katiba iliyomuiingiza madarakani.
 
Nimeuliza hivyo kwa sababu sijui kama kwa yeye peke yake kuamua kuanza mchakato wa kuandika Katiba Mpya kunakubaliana na kiapo cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi Katiba iliyomuiingiza madarakani.
Ndio maana ameanzisha mchakato kwa lengo la kuhakikisha kuwa Katiba inabaki salama. Mamlaka ya kiutawala ya kufanya hivyo anayo.
 
Asante.. kuna mtu kasema ati kiapo kinasema hivi (sehemu yake):

Mimi ...................bin..................naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa jamhuri ya muungano wa Tanzania na kwamba nitaahifadhi kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ewe mwenyenzi mungu nisaidie.

Hivi kama Rais kwa makusudi ameamua kuvunja kiapo chache cha kuwa mwaminifu kwa JMT na akaamua kushirikiana na wezi au wahujumu uchumi wa nchi nini kinafanyika? Kwa mfano vyombo vyenye mamlaka ya kikatiba kama CAG na PCCB vinagundua wizi na hujuma ya hali ya juu na inayumbisha nchi lakini kwa mapenzi yake Rais akaamua kutoilinda na kuitetea nchi kama alivyoapa kwa vile wahusika ni marafiki zake, jamaa zake au yeye mwenyewe jee mambo ndio yanaishia hapo?
Ni meuliza hayo maswali baada ya kukumbuka swali alilouliza Simbachawene ambaye ni naibu waziri akichangia Bungeni, aliuliza " Jee mapendekezo yenu Rais akiyakataa mtamfanya nini?"
 
Asante.. kuna mtu kasema ati kiapo kinasema hivi (sehemu yake):

Mimi ...................bin..................naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa jamhuri ya muungano wa Tanzania na kwamba nitaahifadhi kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ewe mwenyenzi mungu nisaidie.

hivi JK naye aliapa hicho kiapo
 
Back
Top Bottom