KIAMA CUF: Baada ya kugalagazwa Uzini, Temeke yapasuka wanachama zaidi ya 1,400 WAJITOA

kazi kweli kweli yaani Zanzibar CUF inapitwa hadi na CHADEMA? kweli kuwa mtetezi wa CUF unaitaji kuwa na ROHO ya NYAU
 
Chadema + CCM propaganda @work, nani asiyemfahamu mto mada..anavyolamba miguu ya HR na chadema..

wenye akili walishakupotezea..

Upo nje ya mada, issue hapa ni wanachama wa cuf kujivua uanachama.
Mara nyingi JAZBA hupelekea aliyejazibika kutoka nje ya mada na kuchomekea issue ambazo hazihusiki na mada.
 
Naona chadema wanafurahi CUF kudorora as if wao wanapingana na CUF na siyo ccm? connect dots..

ukiconnect dots as prudent man utagundua kuwa CCM na CUF ni chama kimoja so ni sawa kabisa CDM kumuombea majanga CUF coz ni shosti wa CCM
 
Chadema naona mpinzani wao mkubwa ni CUF baada ya kuangukia pua Uzini.

Cha kuchekesha zaidi Chadema wanasema wamepata mafanikio makubwa Zanzibar hivi kutoka kura 617 hadi kura 281 Uzini, ni mafanikio?

Mafanikio ya kurudi kinyumenyume. Aka rivas.
 
Usicheke sana asije akakusikia Marytina and the gang, hao hawakuwa jamaa wa CUF wala CCM! Walikuwa ni mashabiki wa Chadema na naomba usiniulize kadi za CUF walizipata wapi, hiyo ni siri ya Mhe. Hamad Rashidi! Kwanza watu wenyewe hawakai Temeke na labda walisafirishwa kwa fuso kutoka mkoa moja wa kaskazini, kaazi kweli kweli...!

NON sense,usiropoke tu kwani hao ITV sio machizi kuonyesha yaliyojiri Huko Temeke, Ilianzia Dar hapa kwenye Matawi ya Chechnya na Kosovo mkasema mhe. Hamad Rashid katumia hela eti Ni kikundi kidogo tu cha watu, Dodoma wakatoa tamko la kumuunga MKONO, Tanga wakafuatia, Mwanza pia, Kinondoni na Ilala, Musoma sasa Temeke na huwezi jua kesho itakuwa wapi hawa wote uwahonge pesa eti kisa kumuunga MKONO HR?! Ulimbukeni gani huo, Inamaana wote wanaotoa matamko Yao Ni malimbukeni,Mfano Mwanza wanachama zaidi ya 1000 so as Temeke, kuna mtu akadai eti wamepewa 5,000/= kila mmoja....hivi kweli buku tano ikufanye urudishe Kadi ya chama?! Tena waasisi wa chama Kama tulivyoona Temeke jana?! Let us be serious hapa, sio kupost madudu tu kisa unasapoti upande wa pili wa shilingi.
 
mkuu nadhani hujaielewa vizuri ile post.
 
Chadema naona mpinzani wao mkubwa ni CUF baada ya kuangukia pua Uzini.

Cha kuchekesha zaidi Chadema wanasema wamepata mafanikio makubwa Zanzibar hivi kutoka kura 617 hadi kura 281 Uzini, ni mafanikio?

Kwani Chadema waliwahi kusimamisha mgombea Uzini?hii ni mara ya kwanza lakini wameshika no.2 huoni kama ni hatua nzuri?
 
mkuu nadhani hujaielewa vizuri ile post.

Nimeielewa but ninachopingana nacho pale Ni kwamba those people Ni wanachama hai wa cuf wilaya ya Temeke, na sio kweli kwamba wametolewa na fuso hukoo.......
ninachoweza kusema Ni kwamba Ni dhahiri wanaCUF wamekichoka chama chao huo ndio ukweli, wamechoka na wanajiondoa...hakuna mapandikizi. Base Yao imevunjika na hawawezi kuidhibiti hali hii hasa kwa Huu uongozi wa kina Mtatiro na Jusa. Hawawezi wameharibu chama. Image yote imepotea kwa Ubinafsi wao. SELFISHNESS.
 
Nini cha ajabu kusika no.3? unajua chama chako chadema kimeshika namba hiyo miaka mingapi kabla ya kwenda no.2?
Hata mbuyu huwa unaanza kama mchicha... Kama waliazia chini na sasa wamefika hadi upili ni dalili njema za kukua.
 
Bado msimamo wangu upo palepale!Siasa za bongo ni njaa tu ndiyo inawasumbua watu!!Kupiga kura kuchagua kiongozi wa ngazi yeyote bongo itanichukua muda sana!!Upumbavu mtupuu na kupakana matope huku wananchi wakiendelea kutaabika!!Aaagh!!!
 
Kwani Chadema waliwahi kusimamisha mgombea Uzini?hii ni mara ya kwanza lakini wameshika no.2 huoni kama ni hatua nzuri?

Ndio walisimamisha nafasi ya Ubunge na wakashika nafasi ya pili nyuma ya CCM.
 
wenzangu wa cuf 2tafute basi hata hizo hoja za utetezi,hata znz mbele ya nabii ndevu mnakua wa3 nyuma ya cdm ngome ye2 iko wapi!
 
Nimeota wamekanusha habari hizi, sidhani Kama kuna mhalifu aatakubali kufungwa bilakujitetea kidogo.. Endeleeni tu na ufamaji wenu.......r.i.p cuf
 
ila hawa waswahili wa temeke chadema iwaangalie mara mbili mbili mkiwapokea tu mjue siku yoyote watawakimbia ni walaini sana wakipewa ubwabwa na soda hawachelewi kuwasaliti. ni kama yule maTumbo wa propaganda wa ccm
 
Back
Top Bottom