chavka JF-Expert Member Jun 21, 2011 223 46 Mar 4, 2012 #81 hii haiwezekani bana mshahara wangu kuingia kwa wife. Hofu kubwa baada ya miaka mitano kutakuwa na ongezeko la wanawake kuomba talaka kwa nguvu
hii haiwezekani bana mshahara wangu kuingia kwa wife. Hofu kubwa baada ya miaka mitano kutakuwa na ongezeko la wanawake kuomba talaka kwa nguvu
ndyoko JF-Expert Member Nov 2, 2010 4,971 1,650 Mar 4, 2012 #82 we siku hizi unaugua malaria au ndo mmoja wa wagonjwa walotoroka milembe madam?