kiama cha nyumba ndogo.kina dada tuolewe tu sasa

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje
heri nitafute mchumba mwenye mshahara mnono a/c yangu ijae mie
mwanamke opportunity bwana
kweli wanaume mmeumbwa mateesooo matesoo kuhangaika
 
jamani sasa hv mishahara ya wanaume inaingizwa kwenye a/c za wake zao hata kama wife ni mother house ofisi inamfungulia a/c inamuwekea mshahara woote wa mzee nyumba ndogo zitakomaje

Hii umeipata wapi Smile? Sasa hizi nyumba ndogo, itabidi zitafute jamaa waliojiajiri (self employed) kwani wao wanajilipa wenyewe
 
wanaume wenye ajira za mwisho wa mwezi itabidi wawe wanaume wa mwanamke mmoja sasa
 
Hii nliona futuhi jana star tv, cjui kama iko applicable hapa mu bongoland.
 
Na kwann utegemee kipato cha mumeo??kwan wewe huwezi kufanya kazi kwa mikono yako ukajiingizia kipato??yan wanawake bado wanamawazo ya kutegemea kipato cha mume??kweli ndo mana wanawake wengi wanateseka na kunyanyasika sana nowdays!amken wanawake!waume zetu ni wenzi wetu ambao tunashea life together lkn si ndo unamfanya kama Ndo ATM.tuwaheshimu waume zetu na kufurahia sapoti ya kipato chao lkn si ndo kulazimisha eti asilimia kadhaaa ya mshahara wake uje kwangu no!afanye hivyo kwa kupenda kwake.tuwe na ubinadam sometimes!ni hela zake yeye ndo apange zitumike vipi
 
Smile nafikiri hili ni nchi moja ya mashariki ya mbali huko
Mhh hapa bongo hilo litakuwa utata
kazi nifanye mie mshahara achukue mwingine
we patachimbika hapo
 
Haitatokea hapa TZ kwa kuwa sera wetu ndio vinara wa ama kuwa na nyumba ndogo au wao kuwa nyumba ndogo........hata bi kiroboto aliwahi kuwa nyumba ndogo ya mhadhiri wa zamani wa IFM......:lol::eyebrows::embarassed2:
 
Usiogope smile,achana NA hao WA kusubiria tar 30, mashefa ukweli tuko hapa kila siku zinaingia tu.
 
Na kwann utegemee kipato cha mumeo??kwan wewe huwezi kufanya kazi kwa mikono yako ukajiingizia kipato??yan wanawake bado wanamawazo ya kutegemea kipato cha mume??kweli ndo mana wanawake wengi wanateseka na kunyanyasika sana nowdays!amken wanawake!waume zetu ni wenzi wetu ambao tunashea life together lkn si ndo unamfanya kama Ndo ATM.tuwaheshimu waume zetu na kufurahia sapoti ya kipato chao lkn si ndo kulazimisha eti asilimia kadhaaa ya mshahara wake uje kwangu no!afanye hivyo kwa kupenda kwake.tuwe na ubinadam sometimes!ni hela zake yeye ndo apange zitumike vipi

bora uwashauri wanawake wenzako wenye mawazo mgando kama barafu ambayo husubilia joto ili iweze kuyeyuka.
 
Yaaani mshahara wangu uingie kwenye a/c ya mwanamke? Na yeye wakwake utaingia kwenye a/c yangu.
????hapa sasa tunatafutana ubaya.
ubaya gani si atakupa
wife atakuwa anakufanyia allocation ya fund maana hilo limewashinda
 
Usiogope smile,achana NA hao WA kusubiria tar 30, mashefa ukweli tuko hapa kila siku zinaingia tu.
nilijua msemaji mkuu wa nyumba mdogo hili utalia sana.heshima ya mama kayai itarudi sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom