K Kirokomu New Member Jun 18, 2011 1 0 Jun 18, 2011 #1 Mbona huu mpango wa taifa uliosomwa bungeni hauna maelezo yoyote kuhusu kuandikwa kwa katiba mpya? Au ndo tushazimwa?
Mbona huu mpango wa taifa uliosomwa bungeni hauna maelezo yoyote kuhusu kuandikwa kwa katiba mpya? Au ndo tushazimwa?
MrFroasty JF-Expert Member Jun 23, 2009 1,195 590 Jun 19, 2011 #2 Kwani mswada wa marekebisho si muliukataa, tena Chadema kwa maandamano kuupinga