Khanga party photos

dah! wasichana wa kiafrika wazuri bwana... huu ndio ukweli:A S 8:
 
38556_127925433917092_100000989080700_136696_4765889_n.jpg
38556_127925437250425_100000989080700_136697_4895538_n.jpg
38957_127925627250406_100000989080700_136699_2276396_n.jpg
38957_127925640583738_100000989080700_136703_1380955_n.jpg
38061_127938880582414_100000989080700_136842_3425308_n.jpg
38354_127939277249041_100000989080700_136852_8113347_n.jpg
38354_127939280582374_100000989080700_136853_3203662_n.jpg
38136_127940027248966_100000989080700_136859_7508823_n.jpg
37910_127940340582268_100000989080700_136871_8211197_n.jpg
38747_127940977248871_100000989080700_136899_3591982_n.jpg


Umei[ende staili ipi kati ya hizo hapo?
 
mfukunyuzi waonyeshe na ile picha yangu nikiwa ndani ya kivazi changu cha kanga!
mfukunyuzi wee hatari!
 
this girl from the last photo ni wewe.. basi nakufananisha vileeeee :becky:
 
Hivi khanga ndio uvaliwa hivyo? Baada ya muda mfupi kutakuwa na bikini party!
 
natamani wafanye hivi mbele ya slaa(atazoa wengi mwaka huu)teh,teh,teh.

unajua hata kama unamchukia, mchukie tu.
Tatizo lake amekushika pabaya , na kwa sasa maumivu yake unayasikia. Mtoto wa binadamu mwenzako kakukosea nini, please if u hate dr. Slaa, leave him alone sio kumtusi rais mtarajiwa, pia usimtusi jk kwani ni rais wetu, naye pia ni rais mtarajiwa. Jiheshimu bwana na heshimu utu wa watu ebo!!!!!
 
unajua hata kama unamchukia, mchukie tu.
Tatizo lake amekushika pabaya , na kwa sasa maumivu yake unayasikia. Mtoto wa binadamu mwenzako kakukosea nini, please if u hate dr. Slaa, leave him alone sio kumtusi rais mtarajiwa, pia usimtusi jk kwani ni rais wetu, naye pia ni rais mtarajiwa. Jiheshimu bwana na heshimu utu wa watu ebo!!!!!

Kama wewe ni mtu wa dini na unaipenda na kuiheshimu dini yako,sema ukweli Daktari Slaa hajachukuwa mke wa Amanuel Chadiel Mahimbo mkazi wa Kimara, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam?
Tatizo lenu ni kupenda kupita kiasi hata chongo unaona kengeza!Penye ukweli lazima watu wauseme japokuwa kwako na kwa wenzio unawauma(mkiona mnakeleka jitoeni humu jamvini na mkimbilie kule ze ujinga ujinga!)
Kwa taarifa yako na wenzio mwaka mnao,wacha kwanza jamaa warudi ikuru halafu mtawatambua kama vile alivyowatambua Ngawaiya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom