"Khadija Kopa na mumewe"

Afu dogo ni kama anaiangalia mashine yake kama haamini vile! Anatamani waondoke mapema stejini ili wakaendelee na 'ratiba inayofuata'.
 
Kwa kuendekeza Tamaa za mwili, Penzi halina umri.. Lakini kwa hofu ya Mungu, Tuige na tukubali kua \mwanaume anapaswa amzidi Mwanamke ki umri . Like Adam na Hawa, Adam alikua mkubwa kwa Hawa..

Kitabu gani kimesema mwanamme aoe mke mdogo zaidi yake
 
Mbona tunaolewa na vibabu vizee hatupigi kelele, when its pay back kwanini manweka mabandiko?

Mnaolewa na vijibabu vizee hampigi kelele kwasababu ya njaa zenu hata hawa magigolo yote hiyo ni sababu ya tamaa na dhiki!!
 
kwa hiyo hao watoto wa kike baba yao ndo huyo, kama ndiye basi akaribiana sana umri na mabinti zake
 
Back
Top Bottom