Khaaaaaaa!!! Chumo!!!!tz?

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
wajemeni kiukweli chumo nimeipenda sana waweza sema haijachezwa na watz yaani jinsi ilivyo mandhari, story,language,subtitle, yaani kila kitu mia 100% kama hata filamu zakibongo zingekuwa vile nahisi asilimia 78% ya pato la taifa lingekuwa linatokana na sanaa coz kazi zakibongo zingeuzika abroadi kwa speed ya apolo yaani du! dir100% ,cast 100%,uhusika 100% yani dah!!! luv it mo an mo an mo kwa tz wamejitahidi kwauwezo wao UKILINGANISHA NA UWEZO WAO big up dir wa hiyo mov ya malaria.
 
Back
Top Bottom