Khaaaa!!Kwani ni lazima?

ila kupewa pesa na mwandani wako raha jamani! tuache unafiki, pesa ni chachu ya loveeeeeee! si lazima malaki wala mamilioni, waeza sema tu bby wangu leo kanunue pants cassandra, 50,000 hiyo hapo! basi roho inasikia amani na gemu linakuwa la maufundi zaidi! coz unaona this guy cares about me, ananifikiria hata kama si kwa makubwa, but at least kidogo alicho nacho he shares with me, coz nyie nyie mnataka tuspray ma alien na coco channel perfumes, pants za uhakika, n shoes and everything iwe poa, hata tukitoka u appreciate, maintain basi huo uzuri na utanashati ili nisichushe!

wakati unanioa au umenikuta nilikuwa nashine, my parents tried na kunifanya unikute vile ulivyonikuta! sasa iweje leo nije kwako kei yangu waitaka kutwa mara 5, usiku umeigeuza drip ya kwinini, unanigeuza weeeeeeee! halafu hutaki kuu-maintain uzuri wangu itakuaje jamani???

nadhani mwanaume hapaswi kuombwa, anapaswa mwenyewe kujua huyo partner wake anahitaji huduma na kupendeza, anahitaji kujaliwa na kuonyeshwa anathaminiwa! ni mtazamo tu.

unanidai lunch! Lol,
hapo kwenye kumaintain uzuri panahusu sana. Hawa viumbe sijui hawajisikii raha wapenzi wao wakishine! Wanaishia kumezea mate vya watu tu vinavyong'arishwa. Eiyer utaachika baba.
Kaizer nimetambua uwepo wako na mchango wako hapa.
 
Last edited by a moderator:

kha! nitakujaje sasa?? naomba urojo na ndizi bukoba, nina game la kufa mtu weekend hii! upo mdogo wangu, wanatakaga kututumia tu, lakini kutupendezesha aaahh! ndio maana huwa wanasaidiwa na wenzao wenye moyo wa kusaidia na kupendezesha! jamani wapendeni wake, partners zenu ili mjiamini na kuaminiwa!
 
ila kupewa pesa na mwandani wako raha jamani! tuache unafiki, pesa ni chachu ya loveeeeeee! si lazima malaki wala mamilioni, waeza sema tu bby wangu leo kanunue pants cassandra, 50,000 hiyo hapo! basi roho inasikia amani na gemu linakuwa la maufundi zaidi! coz unaona this guy cares about me, ananifikiria hata kama si kwa makubwa, but at least kidogo alicho nacho he shares with me, coz nyie nyie mnataka tuspray ma alien na coco channel perfumes, pants za uhakika, n shoes and everything iwe poa, hata tukitoka u appreciate, maintain basi huo uzuri na utanashati ili nisichushe!

wakati unanioa au umenikuta nilikuwa nashine, my parents tried na kunifanya unikute vile ulivyonikuta! sasa iweje leo nije kwako kei yangu waitaka kutwa mara 5, usiku umeigeuza drip ya kwinini, unanigeuza weeeeeeee! halafu hutaki kuu-maintain uzuri wangu itakuaje jamani???

nadhani mwanaume hapaswi kuombwa, anapaswa mwenyewe kujua huyo partner wake anahitaji huduma na kupendeza, anahitaji kujaliwa na kuonyeshwa anathaminiwa! ni mtazamo tu.

like! Like! Like! Hua inanoga sana wanaume wanaojua wajibu wao bila kuombwa wala kulazimishwa..
 
mwahhhh! Purple! karibu mwaya, mimi binafsi nasikiaga raha sana hubby akiniambia, fuel hiyo, salun hiyo, na hii matakataka yako mengine. hii ya watoto, tuonane end of month, ila pia nikikwama hapo katikati bado narudi kwake! and am working and he knows, kwani whats a big deal jamani, ndiyo maana bado nnashine nikikutajia umri wangu utakataa lakini hayo yote ni matunzo ndugu zanguni, na inaepusha sana vishawishi. coz huwa najua i have a shoulder to lean on any time nikiwa na shida!
 
Kaizer nashukuru kwa kutambua uwepo wangu, na nafurahi kuona tumekubaliana in some cases mwanaume anatakiwa kuonyesha uwepo wake kwa mpenzi/mke wake financialy bila kuombwa, na kwa wanawake hua haipendezi kumuomba mpenzi pesa asubiri kama mwanaume wake ni muelewa atampa tu..
 
Last edited by a moderator:
mshedede mbona wenyewe unatumika tu bila gharama za uendeshaji kama 'k'?
cartura mambo? mbona naupikia, naufulia, naunyoosha ukiwa umechoka, naupalilia, nautibu na kuupaka dawa ukiwa unaumwa! nautuliza kila unapopandwa na hasira kuu! naubusu nakuutakia afya njema kila nikutanapo nao! unataka gharama zipi tena my dear friend, tujuzane, hapa ni pakufundishana!
 
Last edited by a moderator:
kha! nitakujaje sasa?? naomba urojo na ndizi bukoba, nina game la kufa mtu weekend hii! upo mdogo wangu, wanatakaga kututumia tu, lakini kutupendezesha aaahh! ndio maana huwa wanasaidiwa na wenzao wenye moyo wa kusaidia na kupendezesha! jamani wapendeni wake, partners zenu ili mjiamini na kuaminiwa!

urojo umepata, we andaa apitait tu. Acha vijana watunziwe na kila siku wataishia kulia lia wananyang'anywa wapenzi na wenye pesa wakati wao mambo madogo yaliyopo ndani ya uwezo wao wanashindwa kufanya. Hivi cacico anayekupenda bila kukujali utauona vipi upendo wake?
 
i wonder ooooooo! i wonder my sister ooooooo!
 
Hao wanaitwa material girls. They are not wife materials. Kuwakimbia kama ukoma. Hakuna penzi hapo. Love is to share, not unidirection.
 
Kama una kazi huwezi kujitunza??

Well ikija kwenye ndoa ni another case kwani maisha ya ndoa ni tofauti toka familia na familia. Mfano mimi siwezi kuomba ela kwa hubby kwa kuwa ela yangu ni ela yake na yake ni yangu...kwa kifupi ela yetu ni ya familia.

Hapa nadhani tunalaani kuomba omba kwa mabiti. Kwani hii tabia ndio inafanya mabinti zetu wapende ku date watu wanaowazidi umri kwa kuwa age mates wao hawana ela.

mwahhhh! Purple! karibu mwaya, mimi binafsi nasikiaga raha sana hubby akiniambia, fuel hiyo, salun hiyo, na hii matakataka yako mengine. hii ya watoto, tuonane end of month, ila pia nikikwama hapo katikati bado narudi kwake! and am working and he knows, kwani whats a big deal jamani, ndiyo maana bado nnashine nikikutajia umri wangu utakataa lakini hayo yote ni matunzo ndugu zanguni, na inaepusha sana vishawishi. coz huwa najua i have a shoulder to lean on any time nikiwa na shida!
 
urojo umepata, we andaa apitait tu. Acha vijana watunziwe na kila siku wataishia kulia lia wananyang'anywa wapenzi na wenye pesa wakati wao mambo madogo yaliyopo ndani ya uwezo wao wanashindwa kufanya. Hivi cacico anayekupenda bila kukujali utauona vipi upendo wake?

i wonder ooooooo! i wonder my sister ooooooo!
cacico na Catherine pamoja na Purple ninawasona na ninawaelewa.
tumepishana jambo moja tu

Tunashindwa kuelewa context ya hii makitu ni nini? tusichanganye mahitaji ya lazima na yasiyo ya lazima.....
cacico do you do the same kwa mpenzi wako, kumnunulia hayo makitu, maperfume, mafuel sijui na nini? afu tena shemeji yangu mpenzi, inategemea apo kama uwezo huo hana je? aache kwenda kupiga tofali mbili tatu site, akanunue maperfume ili tu wasije wakakupendezesha wengine? gfsonwin where are you sweetlo umfafanulie mdogo wako cacico maana naona ameshindikana hapa afu anataka kumfundisha Catherine tabia mbaya...

uwezo ukiwepo, na mantiki ikiwepo sina shida nayo, tunachopinga hapa ni ile matumizi yanayoelekea kwen kumfanya mwenzio ATM

Halafu kwa MKE kuna spending ambayo ni inherent tu inaingia kwen OC, sasa kwa wale ambao kwa mfano bado ni BF/GF hii inabidi iangaliwe kwa mapana zaidi. Unamsaidiaje BF wako kwen majukumu mengine ya kimaendelea kwa mfano? Unamchukuliaje mtu mekutana siku ya kwanza, mmepeana namba za simu, jioni anakuomba vocha? kweli hii inakudefine vipi as a galfriend? ndo tunapoongelea

halafu suala la kupendeza mi nilidhani tulielewana vizuri tu kuwa hata kama upo kwa wazazi, utapendeza tu, hata kwa kupaka vaseline au Rays, ukiwa ni mrembo ni mrembo tu huhitaji kujibooost hadi kuvunja benki za watu kha!
 
Last edited by a moderator:
Kama una kazi huwezi kujitunza??

Well ikija kwenye ndoa ni another case kwani maisha ya ndoa ni tofauti toka familia na familia. Mfano mimi siwezi kuomba ela kwa hubby kwa kuwa ela yangu ni ela yake na yake ni yangu...kwa kifupi ela yetu ni ya familia.

Hapa nadhani tunalaani kuomba omba kwa mabiti. Kwani hii tabia ndio inafanya mabinti zetu wapende ku date watu wanaowazidi umri kwa kuwa age mates wao hawana ela.

Thank you maam' yaani nyumba kubwa kama ulikuwemo kwen mawazo yangu you have put ut very clear and shortly
 
Purple mwanaume hapaswi kujiona ana kibarua cha kumpa girlfriend wake ela no matter what? Imagine wewe una mtoto wa kiume ambaye ni mwanafunzi na hana kazi. Na kwa kuwa ni above 18 japo ni mwanfunzi say wa high school au college ana girlfriend...Atatoa wapi ela ya kumpa girlfriend wake ambaye say ni binti yangu???

Kama binti anaingia kwenye uhusiano kwa kutegemea mwanaume atamtunza ndio wale mabinti ambao mnakuta mkuo high school yeyey ana date a banker...huku ana kijana mwanafunzi mwenzie.

Masikini ya Mungu hajuhi huyo anaye date ambaye ni mkubwa kuliko yeye anamuweka kwenye risk gani za magonjwa.

Nakubali wadada wa hivyo wapo wengi...lakini ndio hawafai kwani hakuna penzi wanajiuza kupata ela ya matumizi.

hapa sasa tunaanza kuelewana na ndo maana nikasema mwanamke anayejitambua hawezi kumuomba pesa mpenzi wake, ila mwanaume anayejielewa atatoa where necessary kulingana na mazingira yaliyopo kwa wakati huo bila kuombwa wala kulazimishwa..
 
cacico na Catherine pamoja na Purple ninawasona na ninawaelewa.
tumepishana jambo moja tu

Tunashindwa kuelewa context ya hii makitu ni nini? tusichanganye mahitaji ya lazima na yasiyo ya lazima.....
cacico do you do the same kwa mpenzi wako, kumnunulia hayo makitu, maperfume, mafuel sijui na nini? afu tena shemeji yangu mpenzi, inategemea apo kama uwezo huo hana je? aache kwenda kupiga tofali mbili tatu site, akanunue maperfume ili tu wasije wakakupendezesha wengine? gfsonwin where are you sweetlo umfafanulie mdogo wako cacico maana naona ameshindikana hapa afu anataka kumfundisha Catherine tabia mbaya...

uwezo ukiwepo, na mantiki ikiwepo sina shida nayo, tunachopinga hapa ni ile matumizi yanayoelekea kwen kumfanya mwenzio ATM

Halafu kwa MKE kuna spending ambayo ni inherent tu inaingia kwen OC, sasa kwa wale ambao kwa mfano bado ni BF/GF hii inabidi iangaliwe kwa mapana zaidi. Unamsaidiaje BF wako kwen majukumu mengine ya kimaendelea kwa mfano? Unamchukuliaje mtu mekutana siku ya kwanza, mmepeana namba za simu, jioni anakuomba vocha? kweli hii inakudefine vipi as a galfriend? ndo tunapoongelea

halafu suala la kupendeza mi nilidhani tulielewana vizuri tu kuwa hata kama upo kwa wazazi, utapendeza tu, hata kwa kupaka vaseline au Rays, ukiwa ni mrembo ni mrembo tu huhitaji kujibooost hadi kuvunja benki za watu kha!
Kaizer mimi kwangu kujenga hakuna mwisho, i realy like investing kwenye houses kuliko business yoyote! tofali tunaweka site, na maperfume tunapata! sina ile itikadi ya kwamba sasa najenga, so kuvaa, perfumes, wine kidogo weekend kuishe etc VI-STOP. eti ni kujenga najenga! khaaaaaaa si tutachusha! fanya polepole na kwa uwezo wako, na bado kujaliana kubaki palepale!

hata hao mabinti wanao-date, bado nawatetea! ni upendo wa dhati utamuonyesha huyo kijana kuwa hachunwi bali ni haki ya yule binti kupata pesa kutoka kwake inapobidi! na ni haki pia ya yule dada kumjali mpenziwe kwa yote anayohitaji na zawadi kama ambavyo mpenziwe anafanya.

ninachojaribu kusema ni kwamba pesa kwenye relationship spices luv jamani, tupende tusipende! there is every big different kati ya relationship yenye kujaliana, tofauti na wale ma-selfish, kila mtu anafanya lake peke yake,, hawagawiani kwa mantiki ya ninachunwa, basi ilimradi!

na nyie mabinti jamani acheni kuomba kupitiliza, khaaaaaa! mtu atakuchoka hata kabla hujaingia kwenye ndoa, punguzeni mizinga!
 
Kama una kazi huwezi kujitunza??

Well ikija kwenye ndoa ni another case kwani maisha ya ndoa ni tofauti toka familia na familia. Mfano mimi siwezi kuomba ela kwa hubby kwa kuwa ela yangu ni ela yake na yake ni yangu...kwa kifupi ela yetu ni ya familia.

Hapa nadhani tunalaani kuomba omba kwa mabiti. Kwani hii tabia ndio inafanya mabinti zetu wapende ku date watu wanaowazidi umri kwa kuwa age mates wao hawana ela.

unajua dada yangu nyumba kubwa hapa ndipo tunapokwenda sawa mimi na wewe. katika maisha ya ndoa hakuna mwenye mali yake interms ofmoney vyote ni kwaajili ya familia na huwa mnagaana kwa namna ambayo mnakubaliana.

ishu ni kwa maisha ya bf/gf sijui hizi guts za kuomba hela zinatoka wapi??? jamani yatupasa wadada tubadilike ukiona mtu ni tegemezi ujue hajui kuwajibika wala kufikiria namna ya kujiendeleza. to me huwa siafiki kabisa hili.

pia jamani hebu tuanalie matatizo kwennye ndoa nyingi swala la mizinga nalo huwa linaleta matatizo sana unakuta mwanaume anachoka kuombwa pesa kila siku na mkewe hivyo ndipo panapozaa zile kashfa za wewe si kama fenicha tu humu ndani ama wewe kazi ni kula kulala tu and so forth. bwana siku zote hela tamu ya kuitafuta alone na wala si ya kupewa.
 
Last edited by a moderator:
uwiii mi nina vivid sample ya mtu wa hivyo alikuwa na rafiki yake sasa kila siku jamaa akienda kumcheki mdada anapiga mzinga ohh naomba 50,000 nikanunue kitu flani sasa jamaa akamwuliza , hivi wote tumeajiriwa iweje wewe uniombe pesa zangu kwaajili ya matumizi yako kwanza nimekopa pesa nimenunua OPA mkopo sijamaliza kulipa kwa staili hii sinitauza na gari mwishoe akasema isewe tabu mii hela sikupi , hee mdada akachaluka tena iwe mwisho kuja hapa mwanaume gani hutoi pesa mwanaume suruali wee ,
akapata mwingine , hivi wanaume sijui waga wamerogwa yani huyu ndo anafikiri kutoa pesa ndo kunaongeza upendo dada akikohoa tu M-pesa hiyo , mweee anapigwa mzinga mpaka naogopa nikamshauri jaman hivi huyo buzi manake anavyochunwa mpaka aibu , nikamwuliza ndo maisha yako yatakuwa ya hivi hivi tu wee si una kazi yako nzuri tu kwanini unafanya hivyo nikapigwa full stop. yani wanaume kama wamerogwa kutoa pesa tuuu kila kukicha dah kazi kwel.
 
Kaizer mimi kwangu kujenga hakuna mwisho, i realy like investing kwenye houses kuliko business yoyote! tofali tunaweka site, na maperfume tunapata! sina ile itikadi ya kwamba sasa najenga, so kuvaa, perfumes, wine kidogo weekend kuishe etc VI-STOP. eti ni kujenga najenga! khaaaaaaa si tutachusha! fanya polepole na kwa uwezo wako, na bado kujaliana kubaki palepale!

Apo juu cacico, msome nyumba kubwa kuhsuus commitments za kwen ndoa...ni tofauti na za BF/GF. LOL so hapo ni sawa tunajenga na tunaparty kama kawaida wala haina shida

hata hao mabinti wanao-date, bado nawatetea! ni upendo wa dhati utamuonyesha huyo kijana kuwa hachunwi bali ni haki ya yule binti kupata pesa kutoka kwake inapobidi! na ni haki pia ya yule dada kumjali mpenziwe kwa yote anayohitaji na zawadi kama ambavyo mpenziwe anafanya.

Haki zipo pande zote cacico, hakuna haki bila wajibu jamani. sasa umezungumza inapobidi, what if inapobidi mi kama BF wake sina pesa? atapata wapi? si nitaonekana sifai? hapo kuna mapenzi ya kweli, I mean genuinely?

ninachojaribu kusema ni kwamba pesa kwenye relationship spices luv jamani, tupende tusipende! there is every big different kati ya relationship yenye kujaliana, tofauti na wale ma-selfish, kila mtu anafanya lake peke yake,, hawagawiani kwa mantiki ya ninachunwa, basi ilimradi!

Yaani tukifika hapo, ni hatari sana...there is more to spice up love than pesa jamani...pesa is not the ultimate spice to love and if u subscribe to that, hapo ujue kuna tatizo tena kuuubwa kabisa! kha

na nyie mabinti jamani acheni kuomba kupitiliza, khaaaaaa! mtu atakuchoka hata kabla hujaingia kwenye ndoa, punguzeni mizinga!

Hapo upo sawa cacico my shem wa moyoni jamani.....mwaaaah
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom