Sasa wengine tukisemaga hii dini ya ALLAH ni ya kutia mashaka tunaonekana kama wadini, sasa hii nini maana yake? Ina maana dini ya kiislamu haina kiongozi wa kidunia kule Saudia anaeunganisha waislamu na akawa ndio mtoa mwongozo kwa Waislamu duniani?
Ee bana wee, usicheze na magamba, yamezoe kusimama upande wa batli bin magumashi bac hata idd wanapinga-all over the world (from east to america) waislam na watu wote wako katika idd leo. Msikiti mtukufu wa Makka na wa madina wameswali idd, Just imagine angelikuwa mtume Muhammad kiongozi wao yu hai na anaswali hapa Madina, je Bakwata, Magamba na lile gamba kubwa la bakwata-simba angelisemaje. wanatia siasa katika katika maswala ya dini- Eid MubarakHapa pana utata kabisa kwani leo Makkah leo wamesherekea na kuswali Eid mubarack ata London angalia ata Islamic channel.Je kila bara lina Eid yake?Ndugu waisilam nipeni elimu kuhusu ili.
Lakini naona mahujaji wote wanakwenda kuhijji Saudia na misikiti yote duniani imeelekezwa kibla na tende ni huko ndio zinatoka, au labda nilegeze swali langu ni hivi namfahamu Agha khan kama ndio kiongozi wa waislamu wa madhehebu ya Ismailia, je hawa waislamu wa Bakwata kiongozi wao nani?

kule c makao makuu ya uislam like vatican
Mkuu, umesikia kwa nani? Unaweza kuthibitisha?Hata Kenya nasikia Idd ni Jumatano!
Mkuu, dini hii haiendeshwi kwa website kama wataka hivyo angalia ushuhuda bac kupitia hizo website then uangalie which one can be accepted under the muslim shariah! Je Unakumbuka kuwa iliwahi kutokea shakhe mkuu wa bakwata aliwaomba radhi waislamu kwa kuwa waliwaambia mwezi haujaandama na watu wakala siku ya kwanza ya kuingiya ramadhani hali ya kuwa mwezi ulionekana maeneo kadhaa ya huko tz, so akawaambia wailipe siku hiyo. Na kule zenj pia unakumbuka tukio kama hilo lilitokea. Tatizo la Bakwata sawasawa na magamba, elimu wanazo lakini hawataki kuifanyia kazi elimu hiyo, na M/mungu atawauliza sawasawa wenye elimu kisha wakashindwa kuitumia elimu hiyo. Swali kwako mkuu:- Kwa kuwa Msikiti wa Mtume Madinna leo wameswali idd, je ingelikuwa mtume yu hai, yeye ndiye (possibly) angeliswalisha swala ya idd, Je Bakwata wangelikuwa wanamfuata nani? Jitahidi usome dini yako na elimu utakayopata uitumie ipasavyo mkuu.

Kila kitu kiko hapa Moonsighting for Shawwal 1432
Pumbafu kwa kuwa anaita wenzie pumbafu y pumbafu aiwe yy?
Hii sikukuu inabidi ifutwe kwenye calendar, hadi sasa sijaenda kazini wala sielewi kinachoendelea Bakwata na Anwsar sunna
Ramadhani kagoma kuondoka licha ya visa yake ya kuishi nchini kuisha tangu jana.