Kha! Mke wake na shogae

Pamoja na kwamba mimi ni mwanamke nimependa sululu yako, l am sure yule dada mwingine hatapenda lakini ndio adhabu ifaayo. Threesome lol!

By the way kipi kinauma zaidi, kumfumania mkeo akiwa anaDO na mwanamke mwenzake au na mwanaume?
Mara 100 nikute jamaa amezamisha dushelele kwa mke wangu naweza kufikiria kusamehe au la. Lakini kwa usagaji ni summary dismissal!
 
Mara 100 nikute jamaa amezamisha dushelele kwa mke wangu naweza kufikiria kusamehe au la. Lakini kwa usagaji ni summary dismissal!

Aisee, kama sisi vile ukijua kidume chako kinapumuliwa mgongoni, l can't imagine!
 
tatizo watu hatuko wawazi kwa wapenzi wetu,wewe mwanamke unajua unataka kuchezewa weee,ndipo ufike kilimanjaro,unaona aibu kumwambia mumeo,unadhani utaachwa kusagwa?utasikia ooh,mume wangu ataniona malaya,sasa si bora akuone malaya kwake kuliko uchafu wa kusagana!raha ya mapenzi ni kujikidhi nafsi,sasa utakidhi vipi nafsi kama hauko muwazi kwa mpenzio,khaaa!hata kama mumeo hajui kukufikisha,mwelekeze!
 
nimekosea njia huu ni ujangili kabisa yaani unawinda wanyama kinyume cha sheria za nchi.duh:A S confused:
 
Achukue na huyo shoga yake ili wawe level kwa machungu na mkewe! Kule kwetu kulikozoeleka mambo hayo mume huwa hana mchecheto bali wakiisha hao wanawake wewe unamaliza kwa yule mpya ili kuuweka mchezo sawa!
 
Hahaha! Hii hadithi inatufundisha nini vilee? Hivi mko hotel, na mnaiba tena kiuwazi kwa kuja gari moja. Afu mnaanza nanihii bila kulock mlango na kutia door chain? Kha!
 
heri mwanamke anayecheat na mwanaume kuliko mwanamke anayecheat na mwanamke mwenzake! Wasagaji hawaachi kusagana, hafai huyo
 
Ukweli ni huu, mwanamke akishazoea kusagwa ni ngumu kuacha na hata mume atakuwa kama formality tu. Kwa nini nasema hivi?

Kiuhalisia ni kuwa mapenzi ya wanawake kwa wanawake yanakuwa ni makali sana kwa sababu yana involve michezo mingi ambayo inamtia mwanamke nyege za kutosha hadi kufikia kileleni. Tofauti na ilivyo na wanawake wanaposagana, wanaume wengi wanakuwa na haraka na wengine kuona kinyaa hasa kama jamaa alivyosema kwenda uvinza na mengineyo.

Kiukweli, amsemehe tu mkewe ni uhayawani tu lakini kwa jinsi nifahamuvyo mapenzi hayo ya wanawake wasagaji kila akikumbuka mkewe atakuwa anapata mawenge sana hasa kama jamaa ufanisi siyo mkubwa kunako fani.

ndugu yangu Mzee wa Rula, umesema point ambayo watu wengi hapa tuta i ova luku lakin ndio ukweli wenyewe.Binafsi niliwah kupataga nafasi ya akuhudhuria semina moja ya gender na Dr Ngaiza alikuwa ania facilitator katika mambo alaiyosema ni pamoja na kwa nini siku hizi watu wamefanya kutafuta haki za kijinsia hadi kufikia wanawake kuona haja ya kauwa mwanaume. Hakuishia hapo ilelezwa bayana kwamba wanawake wana devote kutafuta wanawake wenzao ili wapate raha stahiki wakati wa tendo la ndoa tofauti na wanavyoweza kupewa spouses wao.

ukikaa ukiangaalia ukweli wanawake wasagaji huwa wanapata raha sana kwakua wanainvolve kucheza mchezo pasi kinyaa na karibia maeneo yote yanatumiwa ipasavyo.Sasa inapokuja kwa wana ndoa waweza kuta kabisa raha kama hii huyu mama haipati.Lakin tujiulize swali la msingi hapa hivi kweli utautukana utu wako kwasababu ya kitu unachokikosa? kama ndiyo mara ngapi? haya shetani kakutega sawa, lakin wewe mwanadamu kwa utshi wako unakosa kuwa na hekima katika mambo yanayodhalilisha? Binafsi sifurahishwi na alichokifanya kwani angeweza kumtrain na mumewe kuwa mume bora but pia lazima awe na hofu ya Mungu.

ushauri mwambie aongee kwanza na mkewe kiundani na ukweli ni kwamba angekutwa yeye anapigwa pipe asingeachwa kwa mke kukwepa aibu so naye afanye the same. sisi ni binadamu tuish tu kwa upendo no matter mtu kakosea kiasi gani.
 
Last edited by a moderator:
Ni asubuhi hii. Umbea nao hauniachi!
Ni hivi! Jamaa yangu kaja hapa anatweta ka vespa ama tukutuku vile!
Ananisimulia yalomkuta over weekend! Yeye na mkewe walikuwa wamealikwa kwenye harusi nje ya huu mji tukaao. Kukawa kuna shoga yake na mkewe ambaye wanamchukulia kama a very close family friend. Huyo mdada ana mtoto mmoja na hajaolewa. Wamekuwa naye kwa kitambo sasa na anayo kazi nzuri tu. Sasa hii mambo ya kuchangia harusi huku uswahilini naye huyu shoga wa mkewe akawa naye kachangia. Siku mbili kabla ya harusi shoga wa mkewe akaomba aongozane nao kwenye gari yao maana haina maana kwenda na gari mbili while wanaelekea kwenye shughuli moja. Wakamkubalia. Wakasafiri! Wakapanga hoteli moja, jamaa na mkewe double self moja la maana tu, yule mdada akachukua single yake fresh! Sasa basi ile siku ya harusi mwanaume si akawaaga kuwa wanatakiwa ukumbini mida ya saa nne hivi maana naye ni mmoja wa wanakamati! Hotelini akabaki mkewe na yule dada. Akaenda ukumbini kule mambo yakaenda chapchap jamaa akaamua kurudi hotelini kujipumzisha mpaka mida iende.
La haula alichokuta hakuamini macho yake! Mke wake na shoga yake walikuwa kama walivyozaliwa! Wanapeana mahaba ka vichaa vile. Jamaa hakusema kitu wakaendelea mpaka walipomaliza yeye kasimama tu anawaangalia. Kuja kushtuka jamaa keshawaona.
Unajua tena fumanizi nifumanizi tu! Ooooh shetani tu, haturudii tena! Mambo kibao! Jamaa akaingia akachukua nguo zake na wala hakusubiri harusi na kurudi kwenye mji wake. Mke anaambiwa naye karudi kwa wazazi wake. Yule shoga wa mkewe hajaonekana mtaani kwao.
Jana jumapili mke akatuma dada yake mkubwa aje amuombee samahani! Jamaa akamuuliza dada yake kwani kakosa nini? Eti dada mtu hata hakuambiwa kosa lenyewe!
Jamaa yuko njia panda maana bado ana kichefuchefu mpaka sasa maana alimshuhudia mkewe akizama chumvini laivu hali kadhalika yule shoga yake naye alikuwa amezama chumvini kwa mkewe pia.
Sasa afanyeje! Msaidieni jamani!

What'ta perfect 'opportunity' for a 'threesome'!
 
Huyo jamaa hamnazo, si ndio na yeye angeingia ikawa threesome ya nguvu. Mbona raha tu.
Yaani Kweli kabisa jamaa bonge la mjinga, angevaa jezi akajitupa uwanjani,then angekuwa ana walima wote kila wiki kwa roho safi,ana haja ya kuacha mke
 
kwa uwelewa wangu huo mchezo huwa kuuacha sio rahisi.,cha msingi hata kama huyo mwanamama atapona itabidi apewe Talaka mara moja iyo ndio dawa pekee hata kama ningekuwa ni mimi nicngeweza kuishi nae ila ningemsamehe ttu.,mtoto tungemlea kwa kutembeleana tuu ila kuishi na mke msagaji ni sawa na kukaa na gundu ndani ya nyumba..tnx
 
Jamani hili tukio la kusikitisha na hapo unaweza kuta jamaa alikuwa kishampa wife dose yake
LoL huyu mwanamke kashindikana kitabia ..sijui hata nimshauri nini huyu mwanaume.
 
WanaJF hususani wanaMMU.

Hili ndio tatizo la Baadhi ya wanaume kufanya k#t*mb@n@ ni suala la kawaida.
  • Hakuna ubunifu wowote. Kila siku ni kifo cha mende katika kitanda na chumba kilekile.
  • Wanawaona wake zao kama ndugu zao, onesho linatakiwa liwe kama uko na "malaya" yaani "rough and tough"
  • Kunyegeshana lazima ichukue nafasi kubwa hadi mwanamke atakaposema kwa sauti au vitendo kuwa anataka upande/uingie.
  • Biashara/kazi ya K#T*MB@N@ (sex is never a dirty game) kamwe sio uchafu wa kukutia kinyaa.
  • Lazima uhakikishe anakusalimia "Shikamoo Mume Wangu" Wakati wa Mchezo au Akushukuru kwa dhati. Hii maana yake ameridhika kimwili na kiroho.
  • Mapenzi hayasimami kwa kuwa umeoa/kuolewa kila siku n mapya
Namshauri akae na mkewe na kuongea naye kwa upole na upendo na waanze moja. Aidha hata bila kukaa naye ameshatubu ndio sababu akaamua kujiua. Amsamehe na azingatie hayo hapo juu.

NB: Kongosho alisema wanaume tufanye mazoezi (unaukumbuka uzi huo?).Kisa ni kutokuwa "rough, tough and strong enough" kumaliza kiu yao.

Ndimi Bazazi!
 
Jamani hili tukio la kusikitisha na hapo unaweza kuta jamaa alikuwa kishampa wife dose yake
LoL huyu mwanamke kashindikana kitabia ..sijui hata nimshauri nini huyu mwanaume.
FirstLady! Dozi ilikuwa ya kitoto hiyo. Unatakiwa utoe dozi kama ya Quinine, masikio, macho, utumbo na kila kiungo kinauma kwa uchovu halafu uone kama anaweza tena hata kuhitaji kulambwalambwa mbunye.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom