Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Sisi Watanzania ni wababaishaji sana:-
- CD/Tape whatever ilikuwa ina nyimbo za taifa iligoma kuimba wimbo especially wimbo wa Tanzania hakuanza vizuri, na sauti ilikuwa ya chini... hivyo watu hawakuwa attentive kusimama wakati wimbo wa wa Taifa unaimbwa.
- Mshereheshaji hakuandaa watu vizuri wakati wa playing of national anthems.
- Wakati wa kutoa heshima kwa aliyekuwa makamu wa Rais na Waziri mkuu wa Zamani ubabaishaji ukawepo. watazamaji walidhani wanamsikiliza mshereheshaji badala ya refa. Hivyo wakati wengine wako kimya na wamesimama, wengine wanapiga miluzi wengine makofi, na wengine walikuwa wamekaa. Kwa kweli pale uwanjani zaidi ya wachezaji waliokuwa na vitambaa vyeusi... wengine wala hatukumuenzi mzee wetu.
- Mabango ya NMB yakikuwa yamewekelewa mifuko ya mchanga iliyasianguke.
- Watu waruka kutoka kwenye vitu vya juu kwenda vya chini bila majeshi ya usalama kufanya lolote, hiyo inaweza kuleta madhara makubwa sana.
- Screen kubwa ya uwanja haikuwashwa sijui manager wa uwanja anadhani wachina waliweka kama furniture.
- Mwisho ushangiliaji wa Cote De Voir ni upuuzi wa hali ya juu na unahijati kukemewa.