Kha Kumbe JK yuko Sahihi!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Ndio! Mechi ya jana kati ya Taifa Stars na Ivory Coast imedhihirisha hilo!Hakika 70% ya Watanzania ni 'Bendera Fuata Upepo! Habari ndio Hiyo!
 
kwa kuwa walikuwa wanashangilia mara taifa stars mara kodi vwaa?
 
Ndio! Mechi ya jana kati ya Taifa Stars na Ivory Coast imedhihirisha hilo!Hakika 70% ya Watanzania ni 'Bendera Fuata Upepo! Habari ndio Hiyo!
.
Compa, Watanzania ni malimbukeni, hili ndio unalijua leo?. Baada ya uchaguzi mdogo Busanda na Biharamulo, nililisema, na nilishutumiwa kutukana watu bure!. Jana uwanja ulifurika, na kila tukipigwa chenga, uwanja unashangilia, tulipopigwa bao ndio kabisaaa. Hawa ndio sisi Watanzania na nchi yetu!.
 
Ungekuwa uwanjani ungeelewa mkuu, kwa asilimia kubwa Watanzania hawana msimamo!

Asilimia kubwa ya Wadanganyika hawana msimamo kwasababu wamekata tamaa juu ya maisha yao kwahiyo hawana sababu ya kujivunia nchi na viongozi wasiojali maendeleo yao na ndio maana mbele ya mkuu wa nchi walikuwa wanawashangilia wageni; hiyo ndio tafsiri ya ushangiliaji wa Ivory Coast thidi ya Timu ya Taifa in front of muungwana!!
 
Wakuu tulipofungwa uwanja wote ulikuwa kimya. Tulipocheza vizuri tulishangalia. Drogba alizomewa. Mara he Drogba na wenzake wakaanza kushangiliwa. Mwishoni kabisa ndio kidogo tukawashangilia vijana wetu. Yaani tulikuwa hatueleweki kabisa!
 
Hata kama mtu umekata tamaa na serikali yako angalau onesha msimamo wako kuwa mtanzania, manake akina Drogba hawajali kama mna tatizo na uongozi wenu bali wanawaona malimbukeni tu wasiojitambua!

Utanzania wetu hautegemei hata kidogo uongozi wa nchi, uongozi utapita lakini utanzania wako ni wa kudumu, hata ukifa bado ni mtanzania tu.. Tatizo lingine ni kuwa huyu JK anapenda kusafiri lakini bado hana exposure kabisa, what a shame?
 
Uzalendo sifuri na hii haina uhusiano na hali ya maisha wala nini? Inabidi turudishe uzalendo kuanzia shuleni kwa kuwa na michezo mingi shuleni. Waziri aliyefuta michezo shuleni ndiyo wa kwanza kulaumiwa kwa kuondoa uzalendo wa vijana wetu. Sasa JK ameanza kuijenga kwa kurudisha michezo mashuleni. Itachukua muda kidogo.
 
Tunapokubali na kuruhusu wezi/mafisadi wawe ndio wafadhili wa timu zetu tutegemee uzalendo upi? Nakubaliana nawe kuhusu kurudisha michezo shuleni na mashindano baina ya shule na shule. Michezo inajenga afya kwa watoto na ushindani pamoja na kujiamini.
 
Unajua watanzania wengi hawashangilii mpira kwa uzalendo ila kwa burudani, mimi sikwenda uwanjani ila tulikuwa tunaangalia kwenye runinga, kuna jamaa ni Chelsea damu baada ya Drogba kufunga lile bao, jamaa aliruka juu. Tulipomuuliza alisema kwa kuwa Drogba anachezea Chelsea.
 
Wakuu tulipofungwa uwanja wote ulikuwa kimya. Tulipocheza vizuri tulishangalia. Drogba alizomewa. Mara he Drogba na wenzake wakaanza kushangiliwa. Mwishoni kabisa ndio kidogo tukawashangilia vijana wetu. Yaani tulikuwa hatueleweki kabisa!

Ama kweli sie kubadilika iko kazi, Ila chanzo cha yote ni jinsi FAT na virabu vyake ilivyokuwa na mifumo mibovu kwanza tumejawa na simba na yanga utaifa hatuna na ndivyo hivyo hivyo TFF inachoendelea kukifanya kuuua soka la wachezaji na kufanya mambo kwa maslahi yao.

Chunguzeni ndani ya TFF kama viongozi si wa simba na yanga sasa muniambie hao watainua soka vipi ya bongo au watawajengeaje wananchi morality kujua kuishabiakia Taifa staaaaaar?

Tunatatizo kubwa katika Uongozi wa kujenga soka la bongo kuanzia kwa club zetu mpaka TFF na ndio maaana wananachi wanaonekana kama bendela fuata upepo muda wote.
Miaka ya 80's na 90's kulikuwa na timu ya USHIRIKA-Moshi, na TUPWISA LINDANDA WANA WA KAWEKAMO PAMBA-Mwanza wale walikuwa ndio washabiki bwana ukiingia uwanjani utajua tu kweli hawa ndio washabiki not this days watu wanakwenda uwanjani for FUN period sasa si waache kwenda waangalie kwa Runingani. Lini tutaiga hata ushabi wa League ya UK eg Liverpool washabiki hushangilia mwanzo mwisho hatakama wamefungwa.

Tulifungwa kwa simple mistake they got the chance they used it well, sie tulikamia game sana na wakatuachia tuchezee weeeee na kipindi cha pili waliingizwa chipukizi zao ndio zikatuonyesha mpira kwanza zika funga middle yetu na zilijua hatuna winga wa kushusha mashambulizi game kwisha sasa hapo wachezaji wetu wajifunze, speed, kufungua nafasi wakati wakipeana pasi, na akili zaidi ya kiuchezaji watumie pia sio lazima wafundishwe na Maximo

Una hakika gani waliokuwa wakishangilia walikuwa watanzania? Na kama sivyo, mimi nadhani wanastahili pogezi kwa kuweka ushabiki pembeni na kufurahia mchezo wenyewe.

Amandla.......
 
Una hakika gani waliokuwa wakishangilia walikuwa watanzania? Na kama sivyo, mimi nadhani wanastahili pogezi kwa kuweka ushabiki pembeni na kufurahia mchezo wenyewe.

Amandla.......
Mpwa una uhakika na unachokisema?? we uwanjani kwa mechi hile kunaweza kukawa na Ivory Cst wangapi mule? Ushabiki upi uwekwe mbele mpwaa, tulivyofungwa kimyaaaaaa kukipigwa chenga kushabilia mara upande huu mara upande ule!!!! kama kushabikia walipaswa waanze mwanzo mwisho hata kama tumefungwa, sie watanzania tunakasumba tukiwa tumefungwa mashabi ndio wakwanza kuwavunja nguvu wachezaji hata kama wanajitahidi.
 
Wakuu kesho kuna mechi kati yao (kod de vwaa) na Amavubi,,sasa tukubaliane kabisaaaaa tushangilie upande gani???????
au ndio ujirani mwema?!??
 
Una hakika gani waliokuwa wakishangilia walikuwa watanzania? Na kama sivyo, mimi nadhani wanastahili pogezi kwa kuweka ushabiki pembeni na kufurahia mchezo wenyewe.

Amandla.......

Kuna kipindi 70% ya waliokuwa uwanjani waliishangilia Ivory Coast, sasa unataka kuniambia sio Watanzania?
 
Back
Top Bottom