Keyboard ya laptop inazingua.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Kuna laptop ya rafik yangu m1 kaniletea nimsaidie kuichek kwan ilikuwa haiwaki kabisa. Nmebahatika kutrace tatizo na nikagundua ni power adapter ndio tatizo. Lakini nilipoiwasha nikaja gundua baadh buttons za keyboard haziftnction. Hapo nifanyeje wadau inawezekana ni button tu zimekaa vibaya au mpaka nibadilishe keyboard nzima.? Msaada please..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom