Kesi za kupinga matokeo ya ubunge.......kuna nini nyuma ya pazia?

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
929
Wakuu kumekua na kesi mfululizo za kupinga matokeo ya chaguzi za ubunge hasa ktk matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita,binafsi sijui ni nini tatizo.Ebu wewe unayafahamu japo kidogo nijuze.Maana mara leo mnyika,mara kafumu,jana lema na makongoro mahanga,mara kafumu wa igunga sasa kesho utaskia tena Slaa siyo raia wa tz.
Nawakilisha:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom