Kesi ya viongozi wa chadema arusha yapigwa kalenda

Tuangalie haya
1. Katiba mpya
2. Wizi wa mali ya umma -dowans, kagoda, uwanja wa ndege
3. Maji, afya, elimu, umeme -ccm imeshindwa kuhudumia tuwahoji -nguvu ya umma iseme nao
4. Mauaji arusha na unyanyasaji wa haki za binadamu

kesi hakuna ni propaganda za ccm kama wanataka kesi walioua wako wapi?
 
mwenyekiti wa chama chetu hakutamka hayo, watu tu walileta huo uzushi humu jf, lakini siku ya mazishi ya mashujaa wa arusha nilikuwepo mwanzo hadi mwisho na mwenyekiti wetu mheshimiwa freeman mbowe hakutamka hayo

Sio uzushi wa JF Mwenyekiti wa Chadema kasema..Gazeti la Mwananchi la leo limeandika tena hiyo habari ukurasa wa kwanza.
 
Hiyo taarifa kwenye gazeti hujaielewa kasome tena uone walipewa lini hilo tamko baada au kabla ya mazishi, najua hukuwepo siku ya mazishi pale NMC na hujui Mbowe alisemaje kwa hiyo usizungumze vitu usivyovijua.
 
Chadema vipi tena wamekwenda mahakamani. Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alisema Chadema wameishatangaza kutokwenda mahakamani kuhudhuria kesi hiyo kama moja ya sharti la kumaliza mgogoro wa Arusha, wameitaka Serikali kufuta kesi hiyo haraka ni moja kati ya masharti saba yaliyotolewa na Chadema.. wamekwenda mahakamani kufanyaje?
Nilikuwepo siku ya aliposoma matamko hayo nikweli aliitaka serikali ifute kesi hiyo haraka lakini kuhusu kutofika mahakamani siyo kweli badala yake aliwaomba watu wafike siku ya tarehe 21-01-2011......
 
Kuna tetesi kwamba Mahakama inataka iwafanyie kitu mbaya akina slaa, hivyo inaona ni vizuri wakipeleka mbele siku ya hukumu watu wakiwa wamesahau machungu yaliyotokea Arusha. Kwa mfano kwasasa ni vigumu sana mahakama kumpeleka Slaa miezi sita jela. Lakini hapo baadaye watu wakiwa wamepoa jazba inawezekana kufanya hivyo

Mimi mwenyewe nataka historia inikumbuke. kama vip nitaenda ndani na slaa.
 
Umeambiwa kuhusu kesi hajaongelea watu kwenda mahakamani...unachotakiwa ni kuuliza je walienda mahakamani usi conclude mwenyewe...ushauri tu
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alisema hivi wameishtangaza kutokwenda mahakamani kuhudhuria kesi hiyo kama moja la sharti la kumaliza mgogoro wa kisiasa Arusha, kwa tamko hili najua hawatahudhuria Mahakamani
 
jamani mimi naonea huruma serikali yangu. hili jambo siyo rahisi kama mnavyofikiria kwamba ni uamuzi wa kufuta au kutokufuta kesi. maji yameshapitiliza shingo sasa yako mdomoni ndiyo maana huwasikii wakiweza tena kuongea. chukulia scenario zifuatazo;

1. kesi ikufutwa, maana yake wametangazi ulimwengu kwamba polisi na serikali walikosea. yaani wamekiri kosa hadharani!

2. Wakishakiri kosa kwa kufuta kesi, chadema wanaanza maandamano tena kulaani mauaji ya raia wasio na hatia

3. Kisha viongozi wa chadema wanaifungulia serikali mashitaka ya kuwapiga, kuwaweka ndani, kuwavunjia heshima, kuwadhalilisha.

4. Halafu itakuwa hakuna sababu ya RPC na IGP kutokujiuzulu, kwa sababa serikali itakuwa imekiri kosa.

5. Wananchi waliuuawa, ndugu zao watadai fidia

6. Wananchi walioumizwa, watadai fidia

7. wananchi hawatatii tena amri ya polisi ya kiintelijensia kwamba wasiandamane

8. Bunge litawaka moto, mjadala wa polisi kuua na kujeruhi raia wasio na hatia

9. Rais anaweza kutakiwa kujiuzulu

10. CHADEMA WATAKUWA WAMEPIGA BAO, KISIASA!

Kwa hiyo, serikali yenu haitafuta hiyo kesi kwa sababu za kiintelijensia nilizozitaja hapo juu.
 
Labda kama alikutana na vyombo vya habari siku nyingi tofauti na amko alilolisoma pale NMC Arusha
 
Hapo umenena mkuu.....
 
mh, viva slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alisema hivi wameishtangaza kutokwenda mahakamani kuhudhuria kesi hiyo kama moja la sharti la kumaliza mgogoro wa kisiasa Arusha, kwa tamko hili najua hawatahudhuria Mahakamani

Mgogoro si bado haujaisha
 
Sasa wanachunguza nini wakati ushahidi wote wanao na walishaonesha kipindi maalumu kwenye Tv.
 
CDM wako makini, wanajua sheria na kwamba mahakama haifungamani na siasa wala chama. wana jua kutofika mahakamani siyo kuwakomoa CCM wala police.

wanajua kuwa nje kwa dhamana ni nini, hata sisi na uelewa wetu wa sheria tunajua wasingefika mahakamani wadhamini wao ndo wangekuwa kwenye hati hati. CDM hakuna mbumbumbu bwashe!!
 
Sasa wanachunguza nini wakati ushahidi wote wanao na walishaonesha kipindi maalumu kwenye Tv.

Vipi kwa kitendo cha kuonyesha lile tukio wakati kesi iko mahakani hawajaingilia uhuru wa mahakama? Katika ile taarifa tayari waandaji walitoa hukumu wakikigazamiza CDM kama chanzo cha yote, hiyo taarifa haitaathiri mwenendo wa kesi?
 
Hiyo taarifa kwenye gazeti hujaielewa kasome tena uone walipewa lini hilo tamko baada au kabla ya mazishi, najua hukuwepo siku ya mazishi pale NMC na hujui Mbowe alisemaje kwa hiyo usizungumze vitu usivyovijua.

Nadhani wewe ndio hujaelewa Chadema wamesema nini.
 
hata mawazo yako ni "crap" acha tabia za cdm ugomvi ugomvi tu ndo sera kubwa kwenu. siokweli kuwa wanarusha walikwenda kwa wingi , tuliowengi tumebaki na shughuli zetu muhimu, walioendaniwasio na ajira tu ushabiki. Je lile tamko la mbowe luningani kuwa serikali waongo walikufa watu watano na si watatu imekuaje mbona inanyamaziwa? amesutika mtu mzima.
 
Back
Top Bottom