Kesi ya Uchaguzi Tandahimba ni Leo: Watu wanaelekea mahakamani hapa Mtwara Mjini

wacha nisogeee kuona hii mechi ya CCM na mkewe CUF

Bado una imani na chochote cha maana kutoka katika kangaroo court zinazoomba Kibali Ikulu kuhusu hukumu?. Kesi ya Lema + Mahanga zimeondoa kabisa imani ya watu kuhusu kupatia haki zao za uchaguzi mahakamani.

Serikali haina hela ya kuandaa chaguzi ndogo kwa kuwa wanajua watashindwa plus hela ya kampeni etc. Mahakakimu wote wanaosikiliza kesi wana walaka maalum juu ya nini cha kuamua kwenye kesi hizi mpaka watakapoambiwa otherwise.
 
wakubwa!ninachojua kesi za wanandoa huwa zinaendeshwa faragha,ndio maana watu wanashindwa kutupa update
 
Back
Top Bottom