kesi ya uchaguzi jimbo la kgm mjini chadema wamkataa jaji

mgadafi

Member
Feb 27, 2012
54
18
vyanzo vya taarifa kutoka kgm zinasema chadema wamempa red cad jaji anaesikiliza kesi iyo.hatuwa iyo imefkia ni baada ya jaji anaesikiliza kesi iyo kukataa ushahidi wa video ambao angeutowa ali mley mgombea wa chadema. hapo jana.je ni video gani iyo?hakuna anaejuwa ni video gani. vyanzo vinaendelea kusema jaji amejibu hawezi kuiachia kesi iyo.
 
Back
Top Bottom