Kesi ya Tundu Lissu

Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.
dah!kwa kweli tuna safari ndefu.watu wengine kwakweli hawakutakiwa kuwa na ubongo wala kuitwa binadamu.i doubt kama aletoa hiyo comment ni binadamu...may be there are other creatures who have intruded our human race!!
 
Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.
dah!kwa kweli tuna safari ndefu.watu wengine kwakweli hawakutakiwa kuwa na ubongo wala kuitwa binadamu.i doubt kama aletoa hiyo comment hapo juu(PL) ni binadamu...may be there are other creatures who have intruded our human race!!
 
Bora Slaa awe Rais kuliko Tundu lissu awe Mbunge[SUP]1 [/SUP].

[SUP]1 [/SUP]Jakaya Mrisho Kikwete (2010).
 
Singidani!!kushinda uchaguzi kupitia chama tofauti na Magamba ni taabu sana!Lissu alifanya kazi ya ziada,ole wao zionekane dalili za kuingilia uhuru wa mahakama ,tunaliamsha hapahapa sgd mpaka kieleweke
 
Mungu ni mwema sana na ninamini kesho atakwenda kusimamia haki itendeke ili huyu lissu mgomvi na mwenye kiburi akapate kuenguliwa kwenye nafasi yake kwani yupo hapo kimakosa na hana maadili ya uongozi.
 
Umepost comments 9.. Nimezisoma zote nikagundua hapo kwenye nyekundu hapo.. Wajisema mwenyewe.. Maana ni mvuta bangi tu ndio anaweza kuandika yote ulioandika kwenye comments zako.. Hope pesa unayolipwa kwa kila comment ina-justify ur level of reasonin..

Umemgundua huyu ni chizi fulani tu.
 
Kamanda Lisu kidedea tu!!! Hata wakiwapiga chini makamanda wote wa CDM but wananchi wapo mstari wa mbele sasa. Civic education kwa sana. CDM fanyeni fund raising, kwa proposal submit kwa taasisi za kimataifa zinazofadhili mambo ya Governance and Human Rights!
 
Bora Slaa awe Rais kuliko Tundu lissu awe Mbunge[SUP]1 [/SUP].

[SUP]1 [/SUP]Jakaya Mrisho Kikwete (2010).

Kwa hiyo JK ali admit kuwa kijana ni kichwa, yaani alimwogopa au? Kwa hiyo inawezekana kama vile Lowasa alivyomogopa Lema na akamvua basi ni likely na Lisu atavuliwa au? Kazi ipo!!!
 
Washashtuka,ile ya Lema imeshusha sympathy ya idara ya mahakama,so kesho lisu anaweza kupeta.

I wish this word could be 'Trust'. Maana ukikiamini kitu kuwa kitakutendea haki ni rahisi kukikimbilia badala ya kuchukua njia nyingine ujuayo wewe kama hkukiamini. Hukumu ya Arusha imejenga hisia hiyo na probably 2015 tutaona watu wakitoa hukumu wenyewe pale watakapoona kuwa wamedhulumiwa kwenye uchaguzi.
 
namwombea dua KAMANDA TUNDU A. MUGHWAI LISSU ashinde kesi. aibu yao magamba itadhiirika ksho.
 
Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.

Join Date : 26th April 2012

Posts : 18
Rep Power : 304

Likes Received 1

Likes Given 0

Kaazi kweli kweli.... Nikifikia hapa hukumbuka maneno ya Yesu ... Baba uwasamehe hawajui watendalo....
 
Join Date : 26th April 2012

Posts : 18
Rep Power : 304

Likes Received 1

Likes Given 0

Kaazi kweli kweli.... Nikifikia hapa hukumbuka maneno ya Yesu ... Baba uwasamehe hawajui watendalo....

msamehe bure maana amekuja na msafara wa Muungano! Hawa ndio wanaoletwa kucheza ngoma za utamaduni pale uwanja wa taifa!
 
wanachofanya ccm ni kutuchochea hasira zetu, wakituondolea lisu bungeni, tutawaka kwa chuki dhidi yao! kitakachofuata, watajuta na kulaumiana!!!!!!"
 
Tatizo tulilonalo kkwasa sasa hivi ni mahakama kuwa kuwa kichaka cha ccm. Facts na evidence za kisheria hazina nafasi bali matakwa ya ccm. Kwa kifupi hivi sasa tuna kangaroo court.
Kangaroo court is referred as a mock court set up in violation of establishedlegal procedure. A court characterized bydishonesty or incompetence. A self-appointed tribunal that violates established legal procedure;also, a dishonest or incompetent court of law. For example, The rebels setup a kangaroo court and condemned the prisoners to summary execution, or Thatjudge runs a kangaroo court--he tells rape victims they should have been morecareful. This expression is thought to liken the jumping ability ofkangaroos to a court that jumps to conclusions on an invalid basis. [Mid-1800s. [Slang of U.S. origin.] An unfair,biased, or hasty judicial proceeding that ends in a harsh punishment; anunauthorized trial conducted by individuals who have taken the law into theirown hands, such as those put on by vigilantes or prison inmates; a proceedingand its leaders who are considered sham, corrupt, and without regard for thelaw.

Hii ni hatari sana maana kwa kadri wananchi wanavyozidi kupoteza imani na mahakama maana yake tunaelekea kuwa a falling state kama Somalia. Binafsi na Muomba Mungu aliponye taifa hili na viongozi wanaotawaliwa na kuongozwa na "tumbo".
Mwalimu Mwakasege anasema mwanadamu yeyote anayefanyakazi kwaajili ya kutimiza matakwa ya tumbo tu amelaniwa. Sasa hivi viongozi tulionao, wakiwemo wa mahakama, ni wale wanaosumbukia tule nini? tuvae nini? kwa kifupi nchi iko kwenye laana maana alivyomtawala ndivyo na watawaliwa walivyo!!!! Mungu iponye Tanzania

 
CCM tunavyowajua ni kwamba wanashida na majimbo yenye maslahi kama Arusha, Ubungo na Meatu.
Wakiamua kumpiga chini TL itakuwa kwa sababu TL ni kichwa.
Mahakama zetu ni za kipumbavu kweli! Yaani wanaweza kutoa hukumu kwa maelekezo ya Mukama.

My wish,
Tundu Lissu anashinda ubunge
 
Back
Top Bottom