Kesi ya Shellukindo

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
:frusty:hii imekaeje!!, kama kautani fulani vile!

[
mtoto wa makamba amvuruga shelukindo

:amen:

mbunge wa bumbuli william shellukindo amawasilisha malalamiko yake katika ngazi za juu za uongozi wa chama cha mapinduzi (ccm) dhidi januari makamba kutaka asivurugwe katika kinyang'anyiro cha ubunge wa jimbo hilo kwenye uchaguzi ujao.

Katika malalamiko hayo aliyofikisha ngazi za juu kabisa za uongozi wa kupitia katibu mkuu wa ccm, wilaya ya lushoto, na nakala kwa naibu katibu mkuu wa ccm, george mkuchika, yenye kumbukumbu namba mb/gc/1/25,chama chake alisema pamoja na mambo mengine ya kuwa anamshauri januari makamba asubiri muda ufike.

Bw. Januari makamba ni msaidizi wa rais jakaya kikwete na ni mtoto wa katibu mkuu, yusuf makamba.

Msekwa ameliambia raia mwema hivi karibuni ya kuwa ccm imeunda kamati ya watu watatu kuhukumu kesi za wawania ubunge majimboni, kesi ambazo kwa kawaida huchakatwa katika sekretariati kabla ya kufikishwa ngazi za juu kama kamati kuu. katibu mkuu makamba ndiye kiongozi wa sekretariati.:banplease:

mtoto wa makamba amvuruga shelukindo
 
dUH PATAMU HAPO KESI YA paka NA PANYA (WATOTO) UNAIPELEKA KUAMULIWA NA BABA NA MAMA PAKA!!
 
Back
Top Bottom