Kesi ya 'Samaki wa Magufuli': Serikali yapigwa 'bao la kisigino'

basi babangu, yaishe! manake rostam akishashinda hiyo kesi atafungua ya madai ya kutaka amilikishwe nchi na wananchi wote for 99 yrs! walau hawa wafilipino waoga watatukamua kiduchu!
Kila kesi tunabwagwa tu, pesa zishaliwa kwa kuendesha kesi tukijua wazi tutashindwa. Bado mtataka Rostam na wenzake wafunguliwe mashtaka?
 
Huu ni ujinga wa serikali ya tz, mi nilishasikia kuwa hao jamaa walitumwa na mbongo anayeishi vietnum na alikuja nchini akagawa mpunga wa kutosha ikiwemo wizarani na mahakama, tz haki iko wapi?
 
tangu 2009 wanasota jela mpaka wamejua Kiswahili - kasha wana achiwa hawana makosa
 
Tujifunze sheria za bahari za kimataifa zinasemaje na zikoje!! Kama waliamua kuwashtaki kufurahisha bwana masifa....aendelee akaweke mitego tena bahari kuu awakamate wengine aone kama hajalipa milele!! Misifa camp ilituponza
 
Back
Top Bottom