Kesi ya rushwa dhidi ya Mbunge wa Bahi Mh. Baduweli leo Kisutu

sembuli

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
757
383
Wana JF, salaam.
Nakumbuka leo ndio ile siku ya kusikilizwa kwa ile kesi namba 146 ya mwaka 2012 , inayomkabili mbunge wa jimbo la BAHI mkoani Dodoma CCM, mh Omary Baduwel Kwa kosa ya kuomba rushwa ya sh milion 8 nakupokea cash sh 1,000,000/=.
Tafadhali mwenye updates au taarifa ya kilichojili huko mahakamani atuwekee hapa
 
Huyo badweli ndio alistaili kpigwa bomu au risasi......piga bomu kabisa...lakini cha ajabu atashinda kesi na kuachiwa huru na kuendeleza wizi mitaani......wanaishia kupiga mabomu waandishi habari na wamachinga.
 
hivi hii ndio ile kesi aliyoomba rushwa halmashauri ya wilaya ya mkuranga? au ipi maana magamba wana rushwa nyingi nyingi.
 
hivi hii ndio ile kesi aliyoomba rushwa halmashauri ya wilaya ya mkuranga? au ipi maana magamba wana rushwa nyingi nyingi.

yap ,ni ile ya kuomba rushwa kutoka halmashauri ya wilaya ya mkuranga pwani kwa niaba ya kamati ya bunge .
 
Kulikuwa hakuna haja ya kesi alipaswa avuliwe ubunge na kutumikia kifungo ushaidi wa kupokea rushwa si ulionekana wazi
 
Back
Top Bottom