Kesi ya rada kuunguruma kesho.............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Gazeti la Majira limetuhabarisha ya kuwa ile kesi ya radar itaanza kusikilizwa kesho jijini London uingereza............Na hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa kesi hiyo kutajwa mahakamani hapo................
 
Hiyo Kesi huko UK itaisha kimya kimya kwa faida ya maslahi ya UK. Ndio Maaana BAE walikubali kulipa fine. I can feel that lazima system ya kule iliwahakikishia kuwa the whole truth wont be uncovered.

Serikali ya UK ilibidi ifute kesi kama hii ya rushwa ya BAE kuuzia vifaa UAE. UAE kujua kuna watoto wa wafalme walihusika walitishia kusitsha mikatabaya kunuanua silaha UK. Kesi hiyo nao ilipotea. So hata Waingereza mbele ya maslahi yao wanapindisha mambo
 
Ni kweli na ndiyo maana watuhumiwa wakuu hapa nchini kama Chenge, Scotland Yard yawaita ni mashahidi.....how comes thieves were sheathed with the witness titular?
 
Kuna yule mama alikuwa waziri alijiuzuru kwa kashfa hii lakini utashangaaa watanzania wenzetu waliopo huko UK hawajawai hata kuonyesha kukerwa na hili jambo walau kuandamana. People are busy opening matawi ya vyama Nje.

Nadhani hii kasumba ya kufungua matawi ya vyama nje ni kujaribu ku neutralise pressure ya watanzania wa nje. Na wanafanikiwa

Bado Tuna kesi Prof Costa Mahalu ya Ubalozi wa Italy sijui nayo vipi.??????

Nadhani itakuwa vizuri wanasheria watuwekee thread ya list and status ya kesi kubwa za UFISADI na status zake todate
 
Kakak una habari? hii ilishaisha sikunyingi, kilicho baki ni mahalu tu kudai fidia.
 
Back
Top Bottom