Kesi ya nyani unampelekea ngedere: iweje CAG akaripoti kwa rais badala ya Bunge?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Nimeshangazwa na utaratibu wa kiwizi na kulindana unaotengenezwa na sirikali ya CCM kupitia kwa mteule wa rais mh Rudovick Utouh kuwa taarifa zote za ukaguzi zianzie kwake na kisha wizarani then ndo ziende bungeni.

Hivi toka lini mimi nikukague wewe sirikari then uwe wa kwanza kupokea riport then uipeleke ktk chombo/ muhimili mwingine ( bunge) ndo waujadili

Kuna nini hapo katikati? Au mnataka kutwambia nn vile vimemo vya kupokea ugeni na misafara yako mkaviondoe au zile posho za vikao hewa
 
Nimeshangazwa
na utaratibu wa kiwizi na kulindana unaotengenezwa na sirikali ya CCM
kupitia kwa mteule wa rais mh Rudovick Utouh kuwa taarifa zote za
ukaguzi zianzie kwake na kisha wizarani then ndo ziende
bungeni.

Hivi toka lini mimi nikukague wewe sirikari then uwe wa
kwanza kupokea riport then uipeleke ktk chombo/ muhimili mwingine (
bunge) ndo waujadili

Kuna nini hapo katikati? Au mnataka kutwambia nn vile
vimemo vya kupokea ugeni na misafara yako mkaviondoe au zile posho za
vikao hewa

ni hitaji la kisheria
 
sijaelewa mantiki ya vyombo vya habari kulipamba hili tukio!
Sielewi tafsiri yake kwa mwananchi mvuja jasho wa kawaida.
 
Bunge ndio muidhinishaji wa bajeti ya serikali kwa kila msimu wa mwaka wa serikali, so imeekaaje hapa Utoh kupeleka ripoti kwa mtumiaji yulyule aliyepangiwa na bunge pasipo muidhinishaji kurudishiwa taarifa za matumizi. Wakuu hpo imekaaje labda mi sielewi.
 
Nimeshangazwa na utaratibu wa kiwizi na kulindana unaotengenezwa na sirikali ya CCM kupitia kwa mteule wa rais mh Rudovick Utouh kuwa taarifa zote za ukaguzi zianzie kwake na kisha wizarani then ndo ziende bungeni.

Hivi toka lini mimi nikukague wewe sirikari then uwe wa kwanza kupokea riport then uipeleke ktk chombo/ muhimili mwingine ( bunge) ndo waujadili

Kuna nini hapo katikati? Au mnataka kutwambia nn vile vimemo vya kupokea ugeni na misafara yako mkaviondoe au zile posho za vikao hewa

mjomba unachokisema ni cha msingi mno na solution yake ni katiba pamoja na CAG vyombo vyote vinavyosimamia serikali havikupaswa kuwa chini ya watu wale wale wanaowasimamia. lengo kubwa la kutengeneza mfumo wa kiubabaishaji namna hii ni kwa ajili ya serikali kuwa na control na vyombo hivi kwani vingekuwa na nguvu ya kweli basi wao ndio wangekuwa wa kwanza kuingia matatizoni kwahiyo vyombo hivi vinapoteza pesa za walipa kodi bure kwani vinaibua madudu ya serikali halafu vinaipa serikali ile ile ijichukulie hatua za nidhamu kwaiyo havifanyi kazi kumlinda mwananchi bali kuwalinda viongozi mafisadi.
 
Kwani utaratibu au sheria inasema vipi? Msiwe mnalaumu watu wakiwa ndani ya sheria.
 
Ndio maana jeikei kaona utouh kachemka akamwambia next tym peleka ripoti kwa ofisi ya pm na wwf wazipeleke bungeni lkn hapa ni usanii tu wa jk pamoja na utooh
 
Si bora hilo la report!watumishi wake wanaajiriwa na ofisi ya utumishi ikimaanisha hana uwezo wa kuajiri anaemtaka,jukumu lote kakabidhiwa Katibu utumish ndg George yambesi,one day atajaziwa vilaza washindwe kupiga mzigo,hilo la wapi ipelekwe report linahitaji mjadala kwani kama kigezo ni kuwa yeye ndo anaikagua serikali so report iende moja kwa moja bungeni kwan si huyohuyo anaikagua ofisi ya bunge pamoja na pesa za mfuko wa bunge?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom