Kesi ya Mwangosi, vigumu sana haki kutendeka!

walimficha kwako au walimficha na kwa waendesha mashitaka pale mahakamani....wewe ulitaka umwone halafu kiongezeke nini kwako au katika kusaidia kesi....kama ni pandikizi au la, nani kati yako wewe na hakimu aliyetakiwa kudetermine?

Mbona unatetea sana, au ndio ni wale wale! Kazana mkuu!!!!
 
Hivi wauaji wa Imran Kombe walishanyongwa au badoooo? Jibu la hili swali litatupa picha kamili ya mwenendo mzima wa hii kesi na matokeo yake!

Hii nchi ya wasnii kila litu kinaenda kisanii tu. Hivi kamanda Chagonja kasafiri maana anonekane kimya? Yeye si ndiye alidai CDM walitupa milipuko?
 
walimficha kwako au walimficha na kwa waendesha mashitaka pale mahakamani....wewe ulitaka umwone halafu kiongezeke nini kwako au katika kusaidia kesi....kama ni pandikizi au la, nani kati yako wewe na hakimu aliyetakiwa kudetermine?

Tulitaka kudhiitisha kuwa ni mtuhumiwa mwenyewe halisi yule anayeonekana kwenye kumbukumbu zetu akitekeleza amri ya mauaji, ama wametuletea kikaragosi cha kufunika mambo yapite. Hata hivyo, mahakama ya haki na hukumu ya kweli tunayo sisi wananchi.
 
Attachments

  • Peoples power.jpg
    Peoples power.jpg
    22.5 KB · Views: 27
Tulitaka kudhiitisha kuwa ni mtuhumiwa mwenyewe halisi yule anayeonekana kwenye kumbukumbu zetu akitekeleza amri ya mauaji, ama wametuletea kikaragosi cha kufunika mambo yapite. Hata hivyo, mahakama ya haki na hukumu ya kweli tunayo sisi wananchi.
mhukumu wa kweli si wananchi, ni Mungu. hata wananchi unaowategemea wapo wengi ambao ni corrupt kuliko hata magamba. kwahiyo hapo ni kumwachia Mungu tu.
 
Hivi yule muuaji mwingine aliyeitwa Ukiwaona Ditopile Mzuzuri naye alikuwa akifunikwa sura asitambulike kila wakati alipokuwa akifikishwa mahakamani?

ya sasa imekaa kiiterigensia zaidi
 
walimficha kwako au walimficha na kwa waendesha mashitaka pale mahakamani....wewe ulitaka umwone halafu kiongezeke nini kwako au katika kusaidia kesi....kama ni pandikizi au la, nani kati yako wewe na hakimu aliyetakiwa kudetermine?
sio lazma utoe comment kama huna point
 
Sasa wewe unaongelea haki au upendeleo?

Kwani askari aliyeshikwa yeye hana haki zake?
Wewe unaongelea haki ipi? Mbona kesi nyingi za mauaji, tumeona askari wanaosindikiza watuhumiwa, wakiruhusu mapaparazi wapige picha, sasa mtuhumiwa huyu ana tofauti gani na watuhumiwa wengine ambao askari huwa hawazuii kupigwa picha, au polisi mtuhumiwa ana haki tofauti na raia wa kawaida mtuhumiwa?!
 
walimficha kwako au walimficha na kwa waendesha mashitaka pale mahakamani....wewe ulitaka umwone halafu kiongezeke nini kwako au katika kusaidia kesi....kama ni pandikizi au la, nani kati yako wewe na hakimu aliyetakiwa kudetermine?
Mbona unawatetea sana hawa polisi? Kwanza fahamu hawa polisi hawakuwa na mpango kabisa wa kumfikisha mwenzao mahakamani, na ndiyo maana kumbuka statement ya kwanza baada ya kuuliwa Mwangosi, walidai ameuawa na kitu kizito toka kwa wafuasi wa Chadema, lakini baada ya kuumbuliwa na picha za mapaparazi, wakashikwa na bumbuwazi na ndiyo maana wanafanya hivi vituko, vya kuzuia hata kupigwa picha kwa huyo mtuhumiwa!!
 
Wewe unaongelea haki ipi? Mbona kesi nyingi za mauaji, tumeona askari wanaosindikiza watuhumiwa, wakiruhusu mapaparazi wapige picha, sasa mtuhumiwa huyu ana tofauti gani na watuhumiwa wengine ambao askari huwa hawazuii kupigwa picha, au polisi mtuhumiwa ana haki tofauti na raia wa kawaida mtuhumiwa?!

Haki ni kupigwa au kutokupigwa picha na siyo kupigwa au kutokupigwa bomu? Fikiri!
 
Back
Top Bottom