Kesi ya mbunge Lema: Jaji Mujulizi ametumwa na nani?

Tujiandae kwa uchaguzi mdogo wa Ubunge Arusha Mjini. Kesi hii imekula kwa Lema....na kuna dalili kuwa ubunge ndo bye bye manake huenda asiruhusiwe kugombea tena kutokana na uzito wa kosa na matusi dhidi ya mgombea mwenzake. Pia iwapo atabahatika kugombea, hakika atabwagwa. Wana Arusha wameshatambua kuwa walifanya kosa kubwa kumchagua mhuni.

Acha kutulisha maneno yako ya ajabu wewe
 
Jaji Mwizi wa Sheria. IMMA du! halafu kesi ya CDM! Sijui ni kwa nini hawakumkataa mapema!
 
Zamani mimi nilifikiri kuwa Jaji ili ateuliwe ni lazima awe Hakimu mahakama za Serikali lakini kama huyu mtu alikuwa Wakili hivi inakuwaje?.
 
Jaji Mujulizi anasimamia kesi ya uongo uliotungwa dhidi ya Lema kuhusu madai mbali mbali ikiwemo udini , je ye mwenyewe kama alipewa nafasi ya ujaji baada ya kusilimu ( alikuwa mkiristo na akabadili dini kuwa mwisilamu) je ataweza kusimamia haki dhidi ya uongo huu , kwani hata sasa ameanza kuonyesha mapungufu makubwa .
ebe tuangalie nini kitatokea mahakamani leo baada ya Mbunge Lema kurudi kuwasiliana na mawakili zake.

Kesi hii ni kuhusu kauli inayodaiwa kutolewa wakati wa uchaguzi, kauli ambayo haina maudhui yoyote kuhusiana na dini ya mtu. Nisingependa kufikiri kwamba dini ya Mujulizi ndiyo iliyompa fursa ya yeye kuteuliwa kuwa jaji. Ni vyema tukatenganisha hisia zozote kuhusiana na dini ya mtu na matendo yake. Kesi yenyewe bado hata haijaanza kusikilizwa
 
Mahakama ni chombo huru, juu ya Jaji Mujuluzi, AULIZWE Jaji Kiongozi aliyempanga!! CDM acheni kulalama iache sheria ichukue mkondo wake
 
Nadhani wanataka mkumchanganya Lema kisaikolojia tu lakini ukweli ni kuwa ushindi wake haukuwa na mawaa.
 
Kama uliyoandika ni KWELI.

Basi Lema ana nafasi na kuruhusiwa kabisa kumkataa Jaji huyo kusikiliza shauri lake na hivyo kesi hiyo kupangiwa jaji mwingine ili haki itendeke.

Sioni unalalamikia nini hapa. Au ndio upofu wa sheria za nchi yenu.
 
labda (MB) wako ndiyo atapoteza kiti chake.

Mkuu, Sheria ni taaluma sio porojo za mitaani.

Jaji Aloyce Mujulizi, ni mtu makini na msomi anaefanya kazi zake kwa mujibu wa sheria za nchi.

Ni katika Majaji maarufu nchi, huyu ndio alietoa hukumu Tabora majambazi matatu yanyongwe
 
Hata kama amesoma na akina Andengenye haijalishi kwani haki itasimama kuwa hakitu huyo atajihukumu mwenyewe! Na hata ikiwezekana atajinyonga na familia yake.
 
Huyu Jaji Aloysius Mujulizi hawezi kutenda haki kwa kesi inayohusu Mh. Lema - namjua alikotoka.

Kwa kuongezea tu kwenye blue, huyu jamaa alikuwa ni mwanasheria wa Jiji kabla ya kuteam up na Masha ili wasajili yale makampuni ya kitapeli: Deep Green etc na ndo yaliwapa mihela hadi wakanunua jengo Upanga. Kampuni ya IMMA Advocates pamoja na majina yaliyotajwa hapo juu kuna jina la mwanamama anaitwa Margai - hivi sasa ni balozi wetu Washington baada ya kuhama kutoka London.

Kwa kuwashukuru IMMA kumpa sponsorship Ritz JK alimpa Mujulizi Ujaji, Masha akapewa unaibu waziri na Margai akapewa ubalozi.

Yule advocate jeuri aliyewahi kumtukana Hakimu ambaye ni binti wa Karume naye anafanya kazi pale, ila nasikia Ritz hayuko nao tena kwani yuko busy na shughuli zake nyingine (hawaivi tena na Masha).

Ufafanuzi Balozi wa TZ Washington ni Mwanaidi Maajar , partner wa REXATTORNEYS, hana uhusiano na IMMA. Acheni kupotosha umma, suala na udini haliambatanio na uteuzi wa majaji. Kinachochatakiwa ni CDM kukusanya nguvu kuangalia wapi mawakili wenu wameanguka na kujenga hoja, nafasi mnayo ya kumshawishi JAJI kwa hoja na wala siyo kulalama kuwa kuna uonevu!!!
 
Mkuu Kilewo, Vita ni vita na CCM wanatumia vyombo vya dola kuikabili CHADEMA kwa vyovyote vile....tujipange na tuwe tayari kwa lolote

Una uhakika upo tayari kwa lolote ? acheni ushambiki mandazi kuwatoa wenzenu kafara !
 
Hata kama amesoma na akina Andengenye haijalishi kwani haki itasimama kuwa hakitu huyo atajihukumu mwenyewe! Na hata ikiwezekana atajinyonga na familia yake.

Nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria na utawala bora.
CDM bana juzi kesi ya madiwani wa CDM ilivyotupwa nje na mahakama mlisema mahakama imetenda haki. Leo tena mnasema Jaji Mujilizi, ametumwa.

Mahakama inatoa haki kwa raia wote wa Tanzania, mahakama haiko kwa CDM peke yake! Ebu acheni sheria ifuate mkondo wake, msiingile uhuru wa mahakama
 
kwa jinsi namvyomjua mujuliz sifikiri kama atafanya upendeleo ktk hii kesi. jamaa ni makini sana pia ni mtu anaye muogopa allah, nakubali alikuwa tabia fulan zaman bt toka asilimu amekuwa mchamungu kuliko hata waliozaliwa na hiyo dini. naimani atatenda haki kabisa. fanyeni subira jamani.
 
Kila mtu mwenye akili na anayejua sheria ameshanga sana maamuzi aliyetoa Jaji Mujulizi jana katika kuhukumu pingamizi ambalo mawakili wa Mbunge Lema walikuwa wameweka dhidi ya walalamikaji , hata hivyo mbunge wa Arusha mjini amekatisha safari yake jana mjini Hanang alipofanya mkutano mmoja akiwa njiani kuelekea Igunga kushahuriana na mawakili wake ni nini cha kufanya na leo baadae ataondoka kuelekea Igunga kwenye mapambano.

Hata hivyo kwa uchache unaweza kumfahamu Jaji mujulizi historia yake kidogo ili ujiulize je haki itatendeka ?

Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji aliikuwa na mkurugenzi katika kampuni ya sheria ya
IMMA ( ambayo kirefu chake ni ISHENGOMA,MASHA, NA MUJULIZI hata mpaka leo yeye ni mbia.
Kampuni hii ya sheria ndiyo aliyomsomesha Riziwani Kikwete Uingereza wakati Rizwan alipokuwa ana practise law kwao ,
Kampuni hii mpaka leo mtoto wa Karume Fatuma Karume bado anafnya kazi na ni mwanaisa mmojawapo wa kampuni hii.
Jaji Mujulizi anasimamia kesi ya uongo uliotungwa dhidi ya Lema kuhusu madai mbali mbali ikiwemo udini , je ye mwenyewe kama alipewa nafasi ya ujaji baada ya kusilimu ( alikuwa mkiristo na akabadili dini kuwa mwisilamu) je ataweza kusimamia haki dhidi ya uongo huu , kwani hata sasa ameanza kuonyesha mapungufu makubwa .
ebe tuangalie nini kitatokea mahakamani leo baada ya Mbunge Lema kurudi kuwasiliana na mawakili zake.

Hiyo blue ni MAGAFU (Marehemu Majura Magafu - RIP, aliyewahi kusimamia kesi mbalimbali ikiwemo ile ya zombe)

Nikirudi kwenye hoja sasa:
Mbona hujatuambia ni maamuzi gani hayo yaliyotolewa? Wengine hatuko huko ulipo wewe.
 
ccm wangetumia nguvu na mbinu za namna hii kwenye kutuletea maendeleo wala wasingekua wanahangaika namna hii...!
 
Ufafanuzi Balozi wa TZ Washington ni Mwanaidi Maajar , partner wa REXATTORNEYS, hana uhusiano na IMMA. Acheni kupotosha umma, suala na udini haliambatanio na uteuzi wa majaji. Kinachochatakiwa ni CDM kukusanya nguvu kuangalia wapi mawakili wenu wameanguka na kujenga hoja, nafasi mnayo ya kumshawishi JAJI kwa hoja na wala siyo kulalama kuwa kuna uonevu!!!

Ni kweli yule mbia wa IMMMA anaitwa Magai. Pia hii ni fursa ya kupambana kisheria kwa hoja na wala hakuna haja ya kupanic, kwani ni vigumu sana kulink maneno na namna yalivyowafanya wapiga kura wengi hivyo kumkataa Burian.

Na kama wanadai hivyo kwa mbunge je watasemaje kuhusu madiwani mbona ulikuwa mchuano mkali vilevile?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom