Kesi ya Lulu inaendeleaje?

Nataka kujuwa maisha ya lulu sasa hivi yako vipi?

yeye mwenyewe kajichimbia,media zinajua katoka yupo kitaa.
Ila watu hamtakiwi kujua inshort kametulia hata kiwanja hakaendi kakitoka na baibui na nikabu...
Chezea segedansi weye
 
Jamani acheni uongo,uzushi, na kuropoka.. kwani lazima upost? Sema kama ni hisia zako,sawa.Usiconclude.
Lulu yupo Segerea,kaupokea mwaka mpya Segerea. Wenye mapenzi mema dua zenu zinahitajika,katika kipindi hiki cha kesi yake akiwa gerezani,na hata atakapopata dhamana..
Na maisha yake baada ya hapo..
 
are you sure??
Unaonaje this weekend ukamtembelea huko sege dansi???
 
hizi porojo bwana, angekuwa katoka ingeshajulikana siku hizi tanzania hakuna siri maana watunza siri ndiyo wa kwanza kuvujisha siri za TISS zinavuja sembuse lulu atolewe segerea kimya kimya ikose vuja.
Hizo habari zitakuwa za stori za kahawa na kashata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom