Kesi ya masanii wafilamu Tz Elizabeth Michael kama 'Lulu'
kesi yake imehairishwa mpaka 7-may 2012!
source: Tbc1
IMEHAIRISHWA au IMEAHIRISHWA?
Nimeanza kumsikia huyu bint baada ya kifo cha Kanumba. Jana nimefanikiwa kumuona ktk taarifa ya habari ya ITV. Ni mdogo sana na ninaamini kwamba yupo chini ya miaka 18. Anahitaji msaada wa kisaikolojia. Kama kuna watu wa kulaumiwa ni wazazi wake kwa kushindwa kumlea vema. Lakini pia ilaumiwe jamii iliyokua imemzunguka wakiwemo wasanii wenzake. Malezi ya watoto wetu hayaridhishi,ni mabovu. Lakini kosa lenyewe ni la bahati mbaya,nadhani mwisho ataachiwa huru ama atahukumiwa kwa mauaji bila kukusudia.I feel sorry for this young girl.God bless her..
Mkuu bora umenisaidia yaani hua nakereka sana mtu anaposema kesi imehairishwa badala ya IMEAHIRISHWA. Sijui tatizo nini?
Nimeanza kumsikia huyu bint baada ya kifo cha Kanumba. Jana nimefanikiwa kumuona ktk taarifa ya habari ya ITV. Ni mdogo sana na ninaamini kwamba yupo chini ya miaka 18. Anahitaji msaada wa kisaikolojia. Kama kuna watu wa kulaumiwa ni wazazi wake kwa kushindwa kumlea vema. Lakini pia ilaumiwe jamii iliyokua imemzunguka wakiwemo wasanii wenzake. Malezi ya watoto wetu hayaridhishi,ni mabovu. Lakini kosa lenyewe ni la bahati mbaya,nadhani mwisho ataachiwa huru ama atahukumiwa kwa mauaji bila kukusudia.
Huenda ni kweli. Kuna watuhumiwa wengi sana magerezani wanalalamikia ucheleweshaji wa kesi zao kwa kipindi kirefu mno!Hapo ngoma ndo imeanza! Na hapo ndo wameanza kumsaidia. Maana angekuwa si mtu maarufu kesi yake isingekuwa inaahirishwa kwa muda wa wiki mbili (fourteen day rule) kesi iliyoahirishwa leo ingetajwa tena mpaka novembaaaa 2012!!!
Nimeanza kumsikia huyu bint baada ya kifo cha Kanumba. Jana nimefanikiwa kumuona ktk taarifa ya habari ya ITV. Ni mdogo sana na ninaamini kwamba yupo chini ya miaka 18. Anahitaji msaada wa kisaikolojia. Kama kuna watu wa kulaumiwa ni wazazi wake kwa kushindwa kumlea vema. Lakini pia ilaumiwe jamii iliyokua imemzunguka wakiwemo wasanii wenzake. Malezi ya watoto wetu hayaridhishi,ni mabovu. Lakini kosa lenyewe ni la bahati mbaya,nadhani mwisho ataachiwa huru ama atahukumiwa kwa mauaji bila kukusudia.
Kesi ya masanii wafilamu Tz Elizabeth Michael kama 'Lulu'
kesi yake imehairishwa mpaka 7-may 2012!
source: Tbc1
eeehh ndugu yangu mtuhumiwa akiwa mahabusu siku 14 sio ajabu. sheria haina ushabiki.jaribu kuuliza basi kabla ya lawama.Hapo ngoma ndo imeanza! Na hapo ndo wameanza kumsaidia. Maana angekuwa si mtu maarufu kesi yake isingekuwa inaahirishwa kwa muda wa wiki mbili (fourteen day rule) kesi iliyoahirishwa leo ingetajwa tena mpaka novembaaaa 2012!!!
unajua kuongea kitu ambacho huna uhakika nacho ni ungo.kama kweli inakuuma watu wnatafuta wanaofahamu ukweli wewe umekaa kimya.halafu unageuka hakimu.acha 'vijiwe laws.'Ukweli kifo cha Kanumba hakihusiani kabisa na Eliza.
Ukweli kifo cha Kanumba hakihusiani kabisa na Eliza. Kosa la Eliza ni kuwepo kwa marehemu usiku. Mtoto wa kike usiku kwa mvulana!!! Maadili ndio yamemponza Lulu. Naamini atatoka na labda atapata fundisho. Kweli wazazi wake ndio wa kulaumiwa kwa kutompa Eliza malezi mazuri. Jamani mlio na watoto mlee watoto wenu kumjua Mungu, nao wakikua hawatamuacha. Tuchukue hii kesi ya Lulu kama fundisho kwetu jinsi ya kulea watoto wetu.
mkuu umekwenda mbali sana. hata hivyo ni kweli alikua anatembea na mtoto mdogo ambaye kama siyo malezi mabovu anapaswa kuwa shule akisoma!So you mean Kanumba was a paedophile?? ...and still died a hero, OMG!!
Nimeanza kumsikia huyu bint baada ya kifo cha Kanumba. Jana nimefanikiwa kumuona ktk taarifa ya habari ya ITV. Ni mdogo sana na ninaamini kwamba yupo chini ya miaka 18. Anahitaji msaada wa kisaikolojia. Kama kuna watu wa kulaumiwa ni wazazi wake kwa kushindwa kumlea vema. Lakini pia ilaumiwe jamii iliyokua imemzunguka wakiwemo wasanii wenzake. Malezi ya watoto wetu hayaridhishi,ni mabovu. Lakini kosa lenyewe ni la bahati mbaya,nadhani mwisho ataachiwa huru ama atahukumiwa kwa mauaji bila kukusudia.
Hapo ngoma ndo imeanza! Na hapo ndo wameanza kumsaidia. Maana angekuwa si mtu maarufu kesi yake isingekuwa inaahirishwa kwa muda wa wiki mbili (fourteen day rule) kesi iliyoahirishwa leo ingetajwa tena mpaka novembaaaa 2012!!!
imedhihilsha kuwa Lulu bado ni mtoto hata saouti yakilio alichokitoa