Kesi ya Lissu kesho, je Plan ya ccm kutwaa jimbo itatimia?

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Wanajf wiki iliyopita kulizungumzwa juu ya CDM kupopolewa majimbo ya sgd na ubungo, kesho tutapata uhalisia, shime waTZ tusiukubali huu ujambazi.
 
Tumkose lissu bungeni..hili halikubaliki..uonevu utakua umezidi kipimo
 
Mbona kuna thread nyingine imeanzishwa kuhusu hii mada tangu asubuhi na hii ya nini ten? Mod, hebu unganisha iwe thread moja
 
Back
Top Bottom