Kesi ya kupinga ushindi wa JJ Mnyika itaanza muda si mrefu hapa mahakama ya kazi (hapa Akiba)

Kesi imechelewa kuanza hivyo tayari imeshaanza na shahidi namba moja Hawa Nghumbi ndo anamaliza kusikilizwa hapa na anajikanyaga kanyaga mpaka watu wanaangua vicheko
 
yaana hapa jaji ankazi kwelikweli ya kuanza kumuelekeza mwanamama kuhusu kuelewa maswali hawezi kujibu anachoulizwa
 
Sera yetu CCM ni kufungua kesi nyingi ili kati ya 10 mahakama yetu itatoa ushindi wa mezani kwa kesi 3 na
tukisimama mbele ya majukwaa tutakuwa tunasema mbona kesi 7 tulizoshindwa wapinzani hawasemi?ai
Nayo mahakama yetu itadai hivi " kama wapinzani hawaoni tunatoa haki mbona tumewapa ushindi kwa kesi 7?
Walitaka washinde zote?"

Kusema kweli ktk demokrasia inahudhi sana wakuu. Nadhani aliyewekwa kwenye target hapa ni Lema na Mnyika.
 
Back
Top Bottom