Serayamajimbo
Senior Member
- Apr 15, 2009
- 191
- 38
Kesho tarehe 27 Aprili kesi ya kupinga ushindi wa Mnyika katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 inaendelea. Najiandaa kuwepo niwajulishe kitakachotokea.
Serayamajimbo
Serayamajimbo
Wananchi tutakuwa kazini so hatuna mda wa kufatilia kesi za wachaga.

Umebanwa na mavi nenda chooni usije ukajaza mavi kwenye chupi!
Watu wapumbavu kama nyie ni wakuhurumiwa, mnahitaji kufanyiwa maombi
mkuu mungi bwana asifiwe! Ni makosa makubwa kufatilia kesi za fisadi wa ruzuku mnyika
Pepe mbona unatujazia saver bure unafanyakazi mabatini au unafanyia wapi hiyo kazi?
unajua kazi ww?acha umama kuku.
heshima kwako mkuu! Nia yangu humu jamvini ni kupinga wale wote wanaofisadi kodi zetu kupitia ruzuku na sehemu nyingine, pia usipende kuwaamini sna wachaga kwani mm ninawajua vizuri na ukitaka kuoamini niyasemayo we fatilia tu sera ya majimbo ambayo wanataka waiendeleze miji yao ya moshi na arusha alafu na kuacha sehemu ambazo hazina rasilimali kama tabora ziwe masikini.
Wananchi tutakuwa kazini so hatuna mda wa kufatilia kesi za wachaga.
heshima kwako mkuu! Nia yangu humu jamvini ni kupinga wale wote wanaofisadi kodi zetu kupitia ruzuku na sehemu nyingine, pia usipende kuwaamini sna wachaga kwani mm ninawajua vizuri na ukitaka kuoamini niyasemayo we fatilia tu sera ya majimbo ambayo wanataka waiendeleze miji yao ya moshi na arusha alafu na kuacha sehemu ambazo hazina rasilimali kama tabora ziwe masikini.
ruzuku gani hizo?
sera ya majimbo: Unafahamu kwamba tabora ni moja kati ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na machimbo mengi hapa tz? kuna migodi kama 18 hivi pale tabora. Maana ya kuwa na majimbo si kwamba kila mkoa utakuwa jimbo! ebo