kesi ya Kafulila vs mbatia kuanza kesho

February

Member
Nov 15, 2011
90
21
Habari zilizopatikana hivi punde zinasema kuwa ile kesi ya mh kafulila nawajumbe wenzake watano wa halmashauri kuu ya chama hicho taifa akiwemo wakili hashimu rungwe aliyekuwa mgombea urais kwa chama hicho 2010 kesho itatajwa mahakama kuu ya tanzania kanda ya dar ambapo itaamuliwa kama ianze kusikilizwa lini kwa mara ya kwanza.
 
Bahati mbaya taarifa haijaweka bayana kama itakuwa ni kuhusu hoja ya kikatiba iliyofunguliwa au ile kesi ya kawaida ya kupinga taratibu za kuvuliwa uanachama
 
Back
Top Bottom