hasan124
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 716
- 128
Ile tamthilia iliyotokea kujichukulia umaarufu mkubwa nchini na inayoendelea ya Anguko la chama cha wananchi CUF kisiasa, imechukua sura mpya siku kadhaa zilizopita baada ya Kamati Kuu ya Chama hicho kuamriwa na Jaji Agustino Shangwa kufika Mahakamani mnamo tar.21-June-2012 kujieleza "kwa nini wasifungwe kwa kukiuka Amri ya Mahakama na kuwatimua MHE. Hamad Rashid na Washirika wake?
Mtazamo halisi WA Kesi hii unaelekea kuielemea CUF baada ya wakili wao Taslima kuwasilisha Utetezi "DHAIFU" mbele ya Jaji husika hivyo tutaraji kumuona MHE. MAKAMU WA Kwanza WA Rais Zanzibar akiburuzwa mahakamani na ving'ora vyake kujitetea kwa nini asifungwe.
Source: mimi mwenyewe
ADC -DIRA ya Mabadiliko.