Kesi ya godbless lema........?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Jaji Mkuu bw Mohamed Othmani Chande akisaidiana na jaji Natalia Kimaro pamoja na Jaji Salum Masati wa mahakama ya rufaa, wanapitia hukumu ya kesi ya aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya Chadema . Wadau je mnalionaje hili.? huyu Jaji Mkuu kwa nini asikae pembeni ktk hili..? itakuwaje hukumu ikiwa ya kisiasa tena.........?
 
Naona kama ni vizuri tu naye chande akaicheza ngoma.
 
huyu jaji lazima awe makini na uamuzi wake n kama amewekwa kwa ajili ya kurubuni basi ajue WATANZANIA NA DUIA KWA UJUMLA wanaitazama kwa makini kessi hii na tunasubiri ushindi tu wa LEMMA kwani alishinda huru na waaarusha waalitambua hilo
 
Back
Top Bottom