MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,343
- 11,227
Walete tu mechi nyingine, tena hii home-ground... Nahisi CCM wanaweza kutosimamisha mgombea.
utaitishwa uchaguzi mwingine na atashinda
Nami nakubaliana nawe. Kama jaji atataka kuwaaibisha CCM kwa mara ya pili mfululizo (yaani baada ya CCM kuaibika Arumeru) basi atoe hukumu ya kushindwa Lema na uchaguzi ufanyike. CCM itaambulia asilimai 5 ya kura! Mie naomba iwe hivyo! Please GOD!
ha! Ha! Ha! Ha! Kwa kuwa serikali ina mijihela mingi ya kumwaga katika uchaguzi na si za kutengeneza madawati kwa mashule yetu watengue tu ubunge wake! Turudie tena kwenye uchaguzi yani itakuwa raha sana! Sababu kwanza mihela ya mafisadi itarudi tena ars tutaifyeka kama kawa mwisho wa siku tunakomaa kwenye kulinda kura! Wakilazimisha kutanganza yani pale pale manispaa tunaanza kuchoma palace hoteli si mnajua ni riz ha ha ha ! Yani itakuwa raha! mahakamaaaa! Fanya haraka tengua hiyo mambo kampeni sije ccm waabike tena ha ha ha ha! Yani hii itakuwa kali zaidi.
Mahakamaaa weee! Jaji weeeee! Tengua hiyo bana mifisadi ilete hela!
hata mie nimesikia hizo tetesi, next ni kwamba katibu wa chadema ndiyo atagombania hizo tetesi ndizo nimezisikia
Ndugu zangu wana JF taarifa ambazo zimezagaa baadhi ni maeneo zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa Mbunge Godliblees Lema kushindwa kwenye kesi yake inayoeendelea na hivyo kupelekea kuvuliwa ubunge.