Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

jamani tuko mbali na Arusha tupeli habari za kweli mbona kesi haikua inaonesha kua lema anazidiwa? imekuaje wakuu

Hizi ni utopian thinking.
Mashahidi wa CCM wameanza kukimbia, Ditaa mdogo wa Batilda analalamika masahahidi wa CCM wamekimbia.
CCM wanajitekenya alafu wanacheka wenyewe.
 
Sidhani kama kesi hii ina masilahi tena kwa sisiemu. Kinachofanyika ni kukunja jamvi wasubiri 2015. Kesi hii ina implications kubwa sana kwa siasa za Tanzania na imani ya wananchi juu ya mahakama. In the future elections mahakama itakuwa irrelevant, watu wakiona wameonewa wanaingia mtaani badala ya kukimbilia mahakamni ambapo wanajua kuwa hawata tendewa haki.

Hii kesi ni kama Random walk around the court, "A blindfolded chimpanzee throwing darts at the ruling pages can select individual ruling as well as the experts that there were no legal arguments on this case to overturn the results." - A chimpanzee without legal training can upheld the election results in this case,

This was political circus conducted in a court room. Kutengua matokeo katika kesi hii ni sawa na referee kutoa penalty baada ya foul kufanyikia kwenye centre circle.
 
uchaguzi ukirudiwa patachimbika, nani anaebisha kwamba Lema ni chaguo la watu wa Arusha, kama wenajiamini waitishe tu uchaguzi wa hao madiwani wasaliti waone kama magambar watalamba kitu. Uchaguzi wowote utakaofanyika Arusha ccm hawapati kitu.

hilo liko wazi na wao wanajua, huoni hizi danadana za uchaguzi mdogo wanavyopiga chenga
 
haitakubalika, na hatutakubali yaani mtu aliechaguliwa na watu wa jiji la Arusha, aondolewe na wahuni 3 wasio na shughuli ya kufanya wenye muda wa kuchezea. huu utakuwa ni ukiukwaji mkubwa wa sheria haikubaliki
 
Mbona kuna kiza hapa . . . huko mbele hakuna shimo? Eeh Mola tuepushe na balaa, amina.
 
Leo katika pitapita zangu hapa A.town nimekutana na wanamagamba kadhaa wakifurahi kuwa eti mh. Lema ameshashindwa kesi kilichabaki ni hakimu kutoa hukumu ya kushindwa na kurudia uchaguzi naomba mwenye taarifa zaidi kutoa hawa wanamagamba wanaotamba uchaguzi kurudiwa mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze.

Mkuu Mumwi,

Nadhani hii ni moja ya mbinu za kijinga sana na sitashangaa ukapata uungwaji mkono na watu wasiopenda kufikiri.Ukifuatilia mwendo mzima wa kesi ya wanachama wa CCM dhidi ya Mheshimiwa Lema utaona wazi kabisa nani kaelemewa na nirahisi sana kutabiri nini kitatokea katika hukumu si lazima uwe na taaluma ya sheria.

hata mimi nimesikia


wanasema pesa iliyotembea hakuna hakimu duniani ambaye angekubali impite!!! kazi kwenu wana arusha:A S 13:



Mkuu wangu Janjaweed katika kesi kuna mambo mawili kushinda ama kushindwa.Kesi inasikilizwa na jaji wa mahakama kuu sijui hakimu katokea wapi ?.


Haiwezekani!!!!! Arusha patachimbika

Kwanini pachimbike !

Hii habari inaweza kuwa kweli na uwezekano mkubwa ni kwamba hata hukumu yenyewe imeandaliwa na watu wengine kabisa na sio judge aliyeendesha kesi!

Tanzania tulikotoka tunajuwa lakini huko tuendeko ni giza tupu.

Huu ni uzushi hakuna chembe ya ukweli tusubiri hukumu.
 
Ni vizuri kufanya matani. Lakini kutania kifo matokeo yake ni kifo. Usitayarishe watu kwa hisia zako za utani, sawasawa na kuchochea machafuko.
 
Teh teh duuuu, sijawahi sikia tanzania huku ikavuja, hii itakwa ya kwanza. Ndio inawezeka akapewa shinikizo, lakini kwa ushahidu upi? kwa kesi ilivyokwenda lema atapaki mapaka 2015

Breaking Newszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Confirmed
Nimeipata toka kwa mtu wangu wa kariiiiiiiiiiiiiiibu
GODI-BURE-SI LEMA kwisha habari zake
Akaendeleze kashfa zake hukoooo mtaaani
 
breaking newszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
confirmed
nimeipata toka kwa mtu wangu wa kariiiiiiiiiiiiiiibu
godi-bure-si lema kwisha habari zake
akaendeleze kashfa zake hukoooo mtaaani


mkuu unalipwa tsh ngapi na hii serikali dhalimu kiasi hicho hata ushindwe kuwa mwelewa, nimekufatilia sana naona hata umaskini huu tulionao wewe unaufurahia tu, michango yako inadhihilisha jinsi gani upeo wako ulivyo.. Au ni shibe ya mahindi ya msaada wa kampeni inakusumbua uko...uendekako utatupwa kama used co...m
 
Ndugu zangu wana JF taarifa ambazo zimezagaa baadhi ni maeneo zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa Mbunge Godliblees Lema kushindwa kwenye kesi yake inayoeendelea na hivyo kupelekea kuvuliwa ubunge.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom