Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

Mbona itakuwa kasheshe Arusha? Kama Lema "akishindwa" kesi wala asikate rufaa Mahakama ya Rufaa. Akubali tuu "ameshindwa" halafu uchaguzi urudiwe halafu yule balozi kule Kenya arudi kugombea tena.
 
Afadhali turudie uchaguzi ili tuepukane na huyu MLA NDUMU wenu.
Kuliko kuwa na hisia za kwamba utamkimbia Lema, ni rahisi zaidi kukimbia kivuli chako mwenyewe!
Lema will stay for Arusha, and there is nothing one (like you) can do about it!
 
ukiamua tu kutumia akili za kawaida ktk hili utagundua kwamba hilo halipo maana kadri siku zinavyoenda ccm inapungukiwa majimbo ya kwenda kucompete achilia mbali kushinda,thats y Bi Batilda Buriani alijua hapo hamna kitu ndo maana akamuomba M/Kiti wa chama kampa nafasi sehemu nyingine balozi Kenya..............average person anaweza kutamka hivyo only akiwa anaota
 
Uchaguzi kwa Arusha mjini hata ukirudiwa mara mia moja,na hasisimame G Lema asimame mtu yeyote yule,na c.c.m wamsimamishe Kikwete,Mkapa,hata nani lazima c.c.m wapigwe chini!ni kupoteza kodi za wavuja jasho tu kwa ruling za kipuuzi
 
Breaking Newszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Confirmed
Nimeipata toka kwa mtu wangu wa kariiiiiiiiiiiiiiibu
GODI-BURE-SI LEMA kwisha habari zake
Akaendeleze kashfa zake hukoooo mtaaani

sasa kama mtu wako wa karibu ana akili kama yako ungetegemea habari gani?
 
kama ulieuatilia ile kesi lema atakua ameshinda kwani hakuna shahidi hata mmoja aliesimama akatoa ushahidi wenye mantiki,lema mbunge wa arusha,ningekua huko nisingekosa hata siku moja.katika fuatilia yangu humu jamvini sikuona kabanwa wapi kwanza shahidi mmoja anaitwa nkangaa hajui hata kusoma alakini ni bingwa wa kununua magazeti.
 
Leo katika pitapita zangu hapa A.town nimekutana na wanamagamba kadhaa wakifurahi kuwa eti mh. Lema ameshashindwa kesi kilichabaki ni hakimu kutoa hukumu ya kushindwa na kurudia uchaguzi naomba mwenye taarifa zaidi kutoa hawa wanamagamba wanaotamba uchaguzi kurudiwa mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze.

Nijuavyo mimi Mshabiki wa Yanga au Simba ambae hapendi mpira zaidi ya ushabi tu, timu yake yanga au simba ikifungwa na Barca atasema barca wamehonga na Merci amependelewa, atashabikia rufaa ikatwe na mechi irudiwe! Hawa iishi kweli, wako katika utumwa wa ushabiki na ubinafsi. Demokrasia kwao ni wao kushinda bila kujali uwezo wao na au wa wachezaji na viongozi wao.

Hawa ndio ambao wanatufanya waafirika(kwa kiwango kikubwa)tuendelee kuonekana hatunazo!
Ni misalaba ambayo hatunabudi kuibeba kama ilivyo andikwa.
Isituzuie kuleta ukombozi!
Kwani ukombozi ni lazima na saa yake ni sasa!
Pipoooooz powerrrr is too strong to buckle under those crosses, it shall cruise thru to freedom with such crosses on its strong shoulders.
 
Leo katika pitapita zangu hapa A.town nimekutana na wanamagamba kadhaa wakifurahi kuwa eti mh. Lema ameshashindwa kesi kilichabaki ni hakimu kutoa hukumu ya kushindwa na kurudia uchaguzi naomba mwenye taarifa zaidi kutoa hawa wanamagamba wanaotamba uchaguzi kurudiwa mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze.

.
Kwa jinsi magamba wanavyopata taabu na kushindwa kujibu hoja zinazojitokeza kwanye hizi chaguzi ndogo na kuzomewa na raia hawatamani hata kidogo kusikia jimbo lolote liko wazi. Ccm wako tayari kumpigia hakimu magoti asitengue ubunge wa mh*Lema.
.
 
nikiwa mtaalamu wa the law of evidence na ile law of tort, hii kesi LEMA alishashinda toka kitambo...naomba muweke kumbukumbu hii comment yangu. Hakuna jaji kichaa atakayekubali kuhongwa kwa mazingira kama yale!.
 
Hapa naona ule msemo 'Watanzania tunajivunia amani'bora tuachane nao kabisa!!!
 
jamani tuko mbali na Arusha tupeli habari za kweli mbona kesi haikua inaonesha kua lema anazidiwa? imekuaje wakuu
 
Yani hata tukisimamisha dodoki na CCM hapa arusha, dodoki linashinda mara mia tisa sabini.
Mwenendo wa kesi mnafuatilia au mnaleta utopian thinking???
CCM wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
 
Back
Top Bottom