Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Leo katika pitapita zangu hapa A.town nimekutana na wanamagamba kadhaa wakifurahi kuwa eti mh. Lema ameshashindwa kesi kilichabaki ni hakimu kutoa hukumu ya kushindwa na kurudia uchaguzi naomba mwenye taarifa zaidi kutoa hawa wanamagamba wanaotamba uchaguzi kurudiwa mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze.
 
Mbwembwe za uchaguzi hazijawahi kutengua matokeo ya uchaguzi.
Magamba walie tu
 
hata mimi nimesikia

wanasema pesa iliyotembea hakuna hakimu duniani ambaye angekubali impite!!! kazi kwenu wana arusha:A S 13:

wanatwanga maji kwenye kinu. kwa jinsi arusha wanavyomkubali lema hata uchaguzi ukirudiwa atapeta tu.
 
Sasa mbona mgombea wao wa CCM kesha timkia Kenya kuwa Balozi. watatafuta mgombea mwingine? walisha hesabu alama za nyakati wakajua wameshapoteza ilo jimbo ndiyo mana mama kapewa ubalozi.
 
Hii habari inaweza kuwa kweli na uwezekano mkubwa ni kwamba hata hukumu yenyewe imeandaliwa na watu wengine kabisa na sio judge aliyeendesha kesi!

Tanzania tulikotoka tunajuwa lakini huko tuendeko ni giza tupu.
 
Naamini Tanzania bado wapo wazee wenye busara na uchungu na hii. Wazee hao (kama watasikilizwa) basi waokoe hili hii balaa inalonyemelea Tanzania. Arusha inaweza kufugua ukurasa mpya kabisa kwa kuweka doa lisilofutika mbele ya dunia. Muda upo, busara inabidi itumike. Kinyume na hapo sote tutaingia gharama, tena gharama kubwa!
 
Breaking Newszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Confirmed
Nimeipata toka kwa mtu wangu wa kariiiiiiiiiiiiiiibu
GODI-BURE-SI LEMA kwisha habari zake
Akaendeleze kashfa zake hukoooo mtaaani
 
Afadhali uchaguzi urudiwe arusha. Kula ccm kura cdm na vielfu kumi vya ccm wanaapollo watapiga bia Kenny Garden hadi wachoke!
 
Na ikiwa hivyo CCM watajutia maamuzi hayo daima. Watamlaumu huyo aliyemhonga hakimu.
 
Back
Top Bottom