Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Alikula nyumbani kwa mkubwa nini kama BABU SEYA?????????????????????? Serikali yetu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Hyo ni big biznes bhana, haezi fungwa mtu atii?Sumaye kishasema CCM na Serikali kuna Rushwa, sasa tunategemea nini kutoka kwa wazungu wa unga.
Ni baada ya miaka minne tangu akamatwe kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevwa akishirikiana na mabondia wa timu ya taifa waliokamatwa huko Mauritius.
Mahakama ya Kisutu leo imemuachia huru Alhaj Salum Mwintanga kwa kukosekana ushahidi wa dhati katika kesi hii.
Ni pigo kwa serikali kutokana na udhaifu wa wanasheria wake au ndio namna watanzania wengi wanavyoonewa kwa kubambikiziwa kesi?
Just thinking aloud[
Ina uhusiano gani na jukwaa la siasa?
sumaye alikamata kiwanda kule kunduchi imeishia wapi?sheria za iran,china muhimu sana hapa tanzania
Yupi huyo mkuu? Rage au?
Hivi Rage aliwezaje kuruhusiwa kugombea ubunge wakati alikutwa na hatia ya wizi na kufungwa?
kina nani hao au ndio jk na riz1Huwezi kufanya biashara ya dawa za kulevya peke yako. Ni syndicate involving powerful and influential people.
Sijawahi sikia mtu kafungwa kwa kesi ya madawa ya kulevya
Kumbe harakati alianzia ndani ya ccm?Sumaye kishasema CCM na Serikali kuna Rushwa, sasa tunategemea nini kutoka kwa wazungu wa unga.