Kesi ya Chenge na Kibajaj leo

Status
Not open for further replies.

Boney E.M.

JF-Expert Member
Jan 22, 2007
425
35
Wana JF ile kesi tuliokuwa tukiisubiri kwa muda mrefu inayohusu ajali ya Chenge na Kibajaj ni leo katika Mahakama ya Kinondoni. Wale mlio karibu na huko tuhabarisheni tafadhali.
 
naomba mungu huyu chenge afungwe hata miaka elfu kumi kwa alivoitafuna tanzania
 
naomba mungu huyu chenge afungwe hata miaka elfu kumi kwa alivoitafuna tanzania

kiongozi sijakuelewa kesi ya chenge kugonga kibajaj na kuitafuna nchi plus kufungwa miaka elfu kumi ,mbona nakosa link hapa...
 
ninaamini kupitia hiyo kesi ya kugonga bajaj basi ndo mungu katupatia nafasi ya kumuhukumu chenge kwa sababu kwa dhambi nyingi alizotufanyia bado serikali inamuogopa kumfungulia mashtaka so kama ningekuwa hakimu kwenye shtaka hilo ningetumia nafasi na upenyo huo huo kumpiga mnvua za kutosha huyo fisadi alietafuna tanzania miaka nenda rudi na alaaniwe chenge fisadi, muuaji, mfitini, mchoyo, fedhuli, ....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom