Kesi inayowakabili Mramba Pesambili na Daniel Yona imemalizika?

mkute

Member
Jan 12, 2011
80
12
Kesi inayowakabili aliyekuwa waziri wa fedha ktk serikali ya awamu ya tatu na mwenzie Daniel Yona kwa matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali yetu hasara kubwa,haijulikani ilikoishia kwani haijulikani kama ipo au imekwisha.
Kesi hii iliyokuwa na mvuto mkubwa hasa kabla ya kipindi cha uchaguzi 2010 imeacha maswali mengi mara baada ya uchaguzi kumalizika kwani haisikiki tena,kiasi wananchi kujiuliza labda ilikuwa ni janja ya kisiasa tu ili kurejesha imani kwa wapiga kura kuwa serikali yao inawajibika na kumbe ni danganya toto! YOU CAN FOOL ALL PEOPLE FOR SOMETIME,BUT YOU CAN'T FOOL ALL PEOPLE ALL THE TIME! sasa watanzania tuamke,tuache woga,tutetee haki zetu,tuondokane na utumwa wa fikra,tujinasue na utawala wa kisanii,tupambane ili kuonyesha sisi si kizazi cha enzi za elimu ya watu wazima,tujue wajibu wetu nini,kwanini tufanywe wajinga? na wakati tunaakili,kufa nini? ni heri kufa unajaribu,kuliko kuishi bila matumaini!
 
Fanya utafiti wa kina kwanza!!!
 
Kesi inayowakabili aliyekuwa waziri wa fedha ktk serikali ya awamu ya tatu na mwenzie Daniel Yona kwa matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali yetu hasara kubwa,haijulikani ilikoishia kwani haijulikani kama ipo au imekwisha.

Pamoja na kuwa serikali ya JK inadharau sana wananchi, mie siamini kwamba wanaweza kufanya kitu kama hiki, maana itakuwa ni kuwatukana watanzania kwamba hawana akili kabisa na wanaweza kudanganywa kama watoto!
 
Mkuu kisasrufi ungepaswa kuweka japo alama ya kuuliza kwenye kichwa cha somo...
 
You can fool some people some time, but you can't fool all the people all the time. Masahihisho kidogo Mkuu.
 
kesi ya lema iliyoanza juzi imeisha kesi ya mafisadi kama kina mramba haiishi labda judge atakuwa ameenda likizo nadhan maana haya ni mambo ya kitoto na aibu kwa serikali kwa kutufanya sisi wananchi mambumbumbu tusioelewa kila kinachoendelea
 
Hio kesi haijafutwa bado ipo Mahakamani, itatajwa tena mwezi ujao sikumbuki tarehe. Hatua ilipofikia ni Mahakama kueleza kama Washtakiwa wana kesi ya kujibu ama la.
 
Watuhumiwa hawana kesi ya kujibu, walikuwa wanatekeleza ilani ya chama chao kwa faida ya wananchi wote wanaokiunga mkono na kukichagua kuiongoza nchi hii kwa miaka yote na wamewaahidi kutawala milele. Ushahidi hautoshelezi kuwatia hatiani.
 
Hio kesi haijafutwa bado ipo Mahakamani, itatajwa tena mwezi ujao sikumbuki tarehe. Hatua ilipofikia ni Mahakama kueleza kama Washtakiwa wana kesi ya kujibu ama la.

JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED.

Siyo peke yao. Wapo akina Patel wa EPA?
 
Sasa heading yako na habari ndani tofauti......shit. Mi nlifikiri kesi imeisha (Heading) kumbe haijulikani ilipofikia (pumba zako ndani). Shit, wastage of ma precious tym
 
Back
Top Bottom