Kesi hizi ziko wapi??

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
Mwaka 2003 kuna watu waliakamatwa wakiiishi kunduchi, nadni ya nyumba yao ambayo ilonyeshwa magazetini walikuwa na mashine ya kutengeneza madawa ya kulevya.

Kesi hii haikusika tena na sijui iliishia wapi.

Miaka miwili iliyopita kuna watu walikamatwa na maiti wakitokea Zambia. Maiti ilikuwa imetobolewa na kurundikwa madawa ya kulevya. Maiti na wahusika walionyeshwa ktk vyombo vya habari, baadaye sarakasi iliishia sinza kwenye makazi ya wahalifu.

Kesi hii haijasikika tena na sijui imeishia wapi.

Mbona Mahakama zetu zinakuwa ni vichaka vya wahalifu? Kuna umakini kweli jinsi tunavyowapata majaji?
 
Back
Top Bottom