Kesi hii imekuwaje.........?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Salaam wenzangu , jamani naomba kujua hivi ile kesi ya matumiza mabaya ya madaraka iiliyokuwa ikimuhusu mhe Basil pesambili Mramba, DR Yona na yule katibu mkuu mstaafu wa wizara ya mahela. muendelezo wake ukoje ama ndo ilikuwa kiini macho (changa la macho). .. tujuzane mwenye taarifa yoyote.
 
...hamna kitu katika kesi ile,mle ni magumashi tu. Walitaka tu kuwatuliza kina Dk. Slaa. Hamna kesi kule,km hauamini subiria siku ya hukumu (...utaikumbuka msg hii). Tusubirie...!!!
 
Mahali pengine pa kuthibitishia usanii wa serikali hii iliyoko madarakani, utaona pia namna alivoenda Rombo na kumnadi jukwaani pesa mbili utagunia ni sarakasi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom