Kesi dhidi ya Mbunge Tundu A. Lissu

Everything will be settled,
Kikwete and his CCM boiled,
Innocent people killed,
We look to you CHADEMA!
 
Heshima yako Dr, unasubiriwa kwa hamu sana SAUT-Mwanza na vijana wanaharakati /wapambanaji kuelekea Tanzania tuitakayo yenye matumaini mapya. MUNGU BARIKI MABADILIKO, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Tunakushukuru Dr kwa taarifa hii, lakini pia nikushukuru kwa kuwa karibu na wananchi wako, tunakumbuka kauli yako ya kipindi cha kampeni, ni kweli janga la Taifa tunaliona kila kona tunalia maoisha magumu, na mwenzetu anakwea pipa kuzunguka dunia. Tunaomba kauli ya kumkemea huyu mkwe.re sis tumeshapiga kelele hasikii.
Naamini baadhi ya magazeti yatanukuu hii tunaomba warecognize JF ambamo polisi hawaamini kama ni source ya info.
Jana kulikuwa na thread ya kifo cha CUF leo imetoka kama ilivyo majira, jamani tambueni umuhimu wa huu mtanadao.
Other wise tunakushukuru Dr Slaa our president
 
Back
Top Bottom