Kesi dhidi ya Dk. Slaa sasa 'kusuluhishwa'

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
LEO NIMESOMA HABARI KUHUSU KESI YA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA DR. SLAA KUWA YUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA MUME WA MCHUMBAWAKE HII IMENISHTUA KIDOGO NA SIJUI MAANA YAKE NINI NA KWANINI SLAA ANAKUBALI KUZUNGUMZA NAE KWANI HUYO MWANAMKE ANAMTAKA NANI KATI YAO WAWILI? HABARI ZAIDI GONGA HAPA: Kesi dhidi ya Dk. Slaa sasa 'kusuluhishwa'
 
Hata mi sijaelewa vizuri. Ila kitu kingine ambacho sijaelewa kwenye hii kesi ni kwamba miongoni mwa utetezi aliowasilisha Dr. Slaa kupitia kwa mawakili wake ni kwamba hakujua kuwa ni mke wa mtu. Sasa mbona anajua na bado anaye? Ndio kusema hadi sasa hajui? Anayejua zaidi atufahamishe
 
Anataka amwambie kuwa Yeye Slaa ni Jina KUBWA na atakumbukwa kama Nyerere, Milele na milele. Huyo si wake na wala si wa Slaa sasa Chuki ya Nini wa Kwetu?

Last edited by a moderator:
Wamemombwa/wametakiwa na mahakama wayamalize nje ya mahakama, kwa uelewa wangu ni kwamba....mahakama imeona hakuna kesi ya msingi hapa bali ulikuwa uzushi aliozushiwa Muheshimiwa Mkuu, Dokta wa Ukweli...Slaa.

Walitaka kumdhalilisha tu, hebu imagine yaani wewe uibiwe mkeo hadi ahamie kwa mtu, una akili wewe au matope?
 
LEO NIMESOMA HABARI KUHUSU KESI YA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA DR. SLAA KUWA YUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA MUME WA MCHUMBAWAKE HII IMENISHTUA KIDOGO NA SIJUI MAANA YAKE NINI NA KWANINI SLAA ANAKUBALI KUZUNGUMZA NAE KWANI HUYO MWANAMKE ANAMTAKA NANI KATI YAO WAWILI? HABARI ZAIDI GONGA HAPA: Kesi dhidi ya Dk. Slaa sasa 'kusuluhishwa'
Hivi umesoma mpaka darasa la ngapi? Hukufundishwa somo linaloitwa 'Ufahamu'? Katika hiyo habari hakuna sehemu yeyote ambayo inasema kuwa Dr. Slaa atalipa pesa. Mimi nahisi wewe ni kati ya wale mapandikizi walioletwa humu kumvurugia sifa huyu mkombozi wa Watanzania. Kwa kifupi ni kuwa umechelewa sana.

zubeda
  • profile.png
    View Profile

user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateSun Oct 2010Posts6Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts
 
huyo mwizi wa wake za watu,jamani hata nyie mnaomsaidia kampeni kuweni makini,huwa haachi kitu,na hapendi upweke...
 
huyo mwizi wa wake za watu,jamani hata nyie mnaomsaidia kampeni kuweni makini,huwa haachi kitu,na hapendi upweke...

Whatever you say, Dr Slaa ni mtu mwingine tofauti jamani katuelemisha wote hata wewe uko tofauti saizi basi kwa vile unapata kidogo toka huko ccm, mimi nilikuwa kipenzi cha JK 2005 lakini nilifungiwa uwezo wa kuona sasa nafahamu, hata kule kwetu Kishapu-mwamashere wanajua kuwa ccm inawaibia na hatuitaki hata kama mtashinda lakini mapenzi na ccm hayapo. We need a new way of thinking and building our country. Siyo hizi siasa za maji Taka hata wewe nashangaa unazishabikia kama huoni kinachoendelea.
 
Hivi umesoma mpaka darasa la ngapi? Hukufundishwa somo linaloitwa 'Ufahamu'? Katika hiyo habari hakuna sehemu yeyote ambayo inasema kuwa Dr. Slaa atalipa pesa. Mimi nahisi wewe ni kati ya wale mapandikizi walioletwa humu kumvurugia sifa huyu mkombozi wa Watanzania. Kwa kifupi ni kuwa umechelewa sana.

Mkombozi wa wapumbavu wachache wanaohitaji kukombolewa kilitulijia sio watanzania, tena uwaombe msamaha watanzania.
 
Kuna watu sampuli ya Zubeda na Mjenga Nchi wamejiunga JF baada ya waraka wa muajiri wao kuwataka kila staff ambaye anajua kutumia mtandao ajiunge na JF, huwezi amini huwa wanaprint michango yo na kuiwasilisha kwa supervisor wao ambaye huwakatia Tsh 30,000 kwa kila post.

Kama mimi muongo wakanushe hii taarifa
 
Mkombozi wa wapumbavu wachache wanaohitaji kukombolewa kilitulijia sio watanzania, tena uwaombe msamaha watanzania.

Duu, hili ni pigo chini ya Mkanda. Hata Malaria Sugu na Kibunango hawana lugha hii.....

Hizi hasira sijui zinatoka wapi? Sawa Mkuu, ngoja Wapumbavu tuchague mkomozi wetu.

Nguruwe atabaki Nguruwe hata kama utampaka Lipstick.
 
so what? Hii ni nafasi ya uongozi bwana na sio nafasi ya uchungaji. I'm not Chad boy lakini msimwandame mtu kisa amewazidi spidi.
Tuambieni Slaa hawezi kuongoza au vitu intellectual kama hivyo...ndo maana nahisi maneno ya ninyi kulipwa yaweza kuwa kweli.
Sichagui sisi em ng'oooo! Kama Slaa ni KIONGOZI mzuri, mchagueni, kama ni kiongozi mbaya haina haja ya kupiga kelele oooh mke wake, ooh mbwa wake...ooh...
Basis ya kuachagua kwa wenye akili timamu ni uwezo wa kuongoza nchi na sio maisha ya chumbani. Usituambie kuwa wajua maisha ya chumbani ya JMK, BIG Ben, Mzee Mwinyi na JKN
 
LEO NIMESOMA HABARI KUHUSU KESI YA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA DR. SLAA KUWA YUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA MUME WA MCHUMBAWAKE HII IMENISHTUA KIDOGO NA SIJUI MAANA YAKE NINI NA KWANINI SLAA ANAKUBALI KUZUNGUMZA NAE KWANI HUYO MWANAMKE ANAMTAKA NANI KATI YAO WAWILI? HABARI ZAIDI GONGA HAPA: Kesi dhidi ya Dk. Slaa sasa 'kusuluhishwa'

Hivi JF imevamiwa? Mbona inaonekana uwezo wako wa kusoma habari na kuitafsiri ni mdogo sana! nimesoma hiyo stori hakuna mahali panapoonyesha kuwa Dr. Slaa yuko tayari kuzungumza na huyo chizi mahimbo sasa wewe umeitoa wapi hiyo? Nina mashaka sana na nyinyi mliojiunga JF October halafu mnaleta thread za ajabu ajabu, kuna tahaira mwenzio alizusha Slaa atataifisha shule za waislamu tukamkimbiza hapa sasa na wewe unaleta upimbi, kawaambieni waliowatuma kujiunga JF kuwa hili jamvi ni lina great thinkers na Slaa ni "Taifa" kubwa kwahiyo vilaza kama nyie hamuwezi kujenga hoja za kumchafua.
 
Kuna watu povu zawatoka umu,chukueni kamba mjitundike Slaa ndo uyoooooooo anachanja mbuga.
Mahakama kuu iko bizee sana kusikiliza kesi kama IZO za kizushi
 
Mkombozi wa wapumbavu wachache wanaohitaji kukombolewa kilitulijia sio watanzania, tena uwaombe msamaha watanzania.
Mojawapo ya njia za kujua tabia ya mtu, ni wakati atakapofungua kinywa chake. Unaita wale Watanzania wote ambao wanamshabikia Dr. Slaa kuwa ni wapumbavu? Nani wa kuitwa mpumbavu hapa, yule anayetukana au anayetukanwa? Hoja zikiisha, matusi hujionyesha.
 
Back
Top Bottom